Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Muhuni ni muhuni tu anaweza asivute bange Ila anakuwa na vitabia vya ajabuajabu....umetoka nae out utashangaa tu kavua shati ghafla anapigana wakati ni Jambo tu linazungumzikaTuko Advanced zaidi, hatuvuti bange wala sigara ila uhuni upo integrated! 😀