Wanawake wanawapenda wanaume wahuni

Kwangu mimi hapana, napenda kahawa yenye kuniongezea maarifa na imetulia kwenye kikombe, nyeusi na imepoa 😂🙌🏻💃🏻🏃🏻‍♀️

If you know wara-min!
 
Sio uhuni na sifa ulizoziweka hapo- et mtu asiye na malengo hapana , wanawake/ wasichana wao wanapenda really man yaani wanapenda mtu aliye serious nayeye yaani mtu makini asiyefatilia sana, wivu anao lakini sio wa kupitiliza ana care japo anakitu lakini anaonyesha kama ana care, amnyanyasi amtukani

Yaani kiufupi uwe really hapo warembo wengi hawapindui sio walee wanaume wa kujichubua chubua na wanakuwaga hawana kitu na wanaforce kama wana kitu ndio unakuta mtu na demu wake wanatembea na mbunge yaani kwa zamu analala na demu wake leo kesho jamaa ake anakuja mbunge analala nae tena, hatari
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa nice guy rough sex anaweza?? Tunatakaa wahuni mguu wa shingo, mguu wa rohoo.

Unakunjwa had unyayo na utosi vinakutanaa
Woyooooooo
Mnapenda watu ambao hawana taboo!! Mnataka watu ambao wanachange gear tu...mara yupo gia namba nne ,akichoka anapeleka namba tano.
 
Aisee kumbe mnapenda kukunjwa kunjwa eeeh sio ile bby nimekuumiza sorry. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa unakutana na nice guy, hata Doggy style hataki eti udhalilishaji, ku slap makalio hawezi.

Sasa wann huyo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunataka wahuniiii mwendo wa mburuzano km vita ya Russia na Ukraine .
 
Sasa unakutana na nice guy, hata Doggy style hataki eti udhalilishaji, ku slap makalio hawezi.

Sasa wann huyo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunataka wahuniiii mwendo wa mburuzano km vita ya Russia na Ukraine .
Kumbe mnapenda kuchapwa matakoz yenu alafu mnasonya mwanaume akicheki mwanamke mwenye takoz.
Doggy style sii kuna wanawake wanasema mwanaume anakuwa anawachungulia hadi moyo 🤣🤣🤣🤣
To yeye
 
Unae wazungumzia wee hapa ni ving'asti, na sio wahuni, hebu jua kutofautishaaaa.

Tuachee na wahunii wetuuu.
 
Ni mtazamo wa kinadharia uhalizia ni zero japo tunawaona.
 
Kwa hiyo mkeo/demu wako alikupenda kwa kuwa wewe ni mhuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…