Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwangu mimi hapana, napenda kahawa yenye kuniongezea maarifa na imetulia kwenye kikombe, nyeusi na imepoa 😂🙌🏻💃🏻🏃🏻♀️Embu ngoja kwanza;
Mshikaji wangu Bantu Lady eti ni kweli haya?
Dadaangu To yeye hili alilosema huyu Choosen85 lina ukweli wowote?
Mamdogo wangu Amehlo sema neno hapa nipate kuelewa, kwani yule uliyemsema naye ni muhuni?
Shemela Evelyn Salt embu mwaga mipwenti hapa
binti kiziwi hili umewahi kulisikia?
You have not dared to talk openly..!!Kwangu mimi hapana, napenda kahawa yenye kuniongezea maarifa na imetulia kwenye kikombe, nyeusi na imepoa 😂🙌🏻💃🏻🏃🏻♀️
If you know wara-min!
your❌
Matokeo yake mnakuja kuzaa mitoto mitukutu inayokuja kusumbua walimwenguWahuni wana raha yake bhana
Sio unakuwa na mwanaume hadi akugonge ni mpaka mfanye maombi
Mnapenda watu ambao hawana taboo!! Mnataka watu ambao wanachange gear tu...mara yupo gia namba nne ,akichoka anapeleka namba tano.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa nice guy rough sex anaweza?? Tunatakaa wahuni mguu wa shingo, mguu wa rohoo.
Unakunjwa had unyayo na utosi vinakutanaa
Woyooooooo
Sasa unakutana na nice guy, hata Doggy style hataki eti udhalilishaji, ku slap makalio hawezi.Aisee kumbe mnapenda kukunjwa kunjwa eeeh sio ile bby nimekuumiza sorry. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu kunywa maji halafu chillMatokeo yake mnakuja kuzaa mitoto mitukutu inayokuja kusumbua walimwengu
Kumbe mnapenda kuchapwa matakoz yenu alafu mnasonya mwanaume akicheki mwanamke mwenye takoz.Sasa unakutana na nice guy, hata Doggy style hataki eti udhalilishaji, ku slap makalio hawezi.
Sasa wann huyo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunataka wahuniiii mwendo wa mburuzano km vita ya Russia na Ukraine .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wahuni woteeee mawinguniiiiiii
Unae wazungumzia wee hapa ni ving'asti, na sio wahuni, hebu jua kutofautishaaaa.Sio uhuni na sifa ulizoziweka hapo- et mtu asiye na malengo hapana , wanawake/ wasichana wao wanapenda really man yaani wanapenda mtu aliye serious nayeye yaani mtu makini asiyefatilia sana, wivu anao lakini sio wa kupitiliza ana care japo anakitu lakini anaonyesha kama ana care, amnyanyasi amtukani
Yaani kiufupi uwe really hapo warembo wengi hawapindui sio walee wanaume wa kujichubua chubua na wanakuwaga hawana kitu na wanaforce kama wana kitu ndio unakuta mtu na demu wake wanatembea na mbunge yaani kwa zamu analala na demu wake leo kesho jamaa ake anakuja mbunge analala nae tena, hatari
We Joanah wewe..!! Mungu anakuona ujuwe..!!Wahuni wana raha yake bhana
Sio unakuwa na mwanaume hadi akugonge ni mpaka mfanye maombi
Ndo maanaaa akeeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnapenda watu ambao hawana taboo!! Mnataka watu ambao wanachange gear tu...mara yupo gia namba nne ,akichoka anapeleka namba tano.
Ni mtazamo wa kinadharia uhalizia ni zero japo tunawaona.Salaam wakuu
your the weapons against the kingdom of darkness.
Kuna jambo nimeligundua wanawake hawa awe pisi kali, kawaida au mapepe aisee wanaowafaidi ni wanaume wale wahuni wahuni tena wasio na mbele wala nyuma wasio na mipango ya kimaisha tena unakuta wanaishi geto tu chumba kimoja mtu 8.
Sasa hawa ndiyo wanagonga sana dada zetu. Tofauti kabisa na vijana wenye mipango na malengo huwa mara nyingi wanawake wanawakataa mpaka ajazwe mimba na muhuni ndiyo anatafuta mtu makini.
Fatilieni naamin wapo humu wanalijua hili watatoa shuhuda zao.
Unae wazungumzia wee hapa ni ving'asti, na sio wahuni, hebu jua kutofautishaaaa.
Tuachee na wahunii wetuuu.
Ndo maana akeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hili sio la kuhoji
Wahuni wote tukutane peponiiiiii
Kwa hiyo mkeo/demu wako alikupenda kwa kuwa wewe ni mhuni.Salaam wakuu
your the weapons against the kingdom of darkness.
Kuna jambo nimeligundua wanawake hawa awe pisi kali, kawaida au mapepe aisee wanaowafaidi ni wanaume wale wahuni wahuni tena wasio na mbele wala nyuma wasio na mipango ya kimaisha tena unakuta wanaishi geto tu chumba kimoja mtu 8.
Sasa hawa ndiyo wanagonga sana dada zetu. Tofauti kabisa na vijana wenye mipango na malengo huwa mara nyingi wanawake wanawakataa mpaka ajazwe mimba na muhuni ndiyo anatafuta mtu makini.
Fatilieni naamin wapo humu wanalijua hili watatoa shuhuda zao.