Wanawake wanawapenda wanaume wahuni

Wanawake wanawapenda wanaume wahuni

Kabisa wanapenda wanaume wenye fujo fujo, mwanaume jasiri ambaye atamburuza, mwanaume atakaye cheat ili make up sex iwe tamu zaidi.
Lakini ukiwa mwanaume mpole sijui straight hawakutaki kabisa....utasikia wenyewe he is just too nice[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo mr nice atatafutwa wakati ngoma inasoma 33+
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inauma aisee
 
Salaam Wakuu, your the weapons against the kingdom of darkness.

Kuna jambo nimeligundua wanawake hawa awe pisi kali, kawaida au mapepe aisee wanaowafaidi ni wanaume wale wahuni wahuni tena wasio na mbele wala nyuma wasio na mipango ya kimaisha tena unakuta wanaishi geto tu chumba kimoja mtu 8.

Sasa hawa ndiyo wanagonga sana dada zetu. Tofauti kabisa na vijana wenye mipango na malengo huwa mara nyingi wanawake wanawakataa mpaka ajazwe mimba na muhuni ndiyo anatafuta mtu makini.

Fatilieni naamin wapo humu wanalijua hili watatoa shuhuda zao.
Wonderful thing is.. wahuni wenyewe tupo single huku mitaani
 
Kiukweli inatokea tu accidentally ila mie napenda fine fine boys mtu anayejielewa

wote kwa maneno huzungumza kama hayo yako. Ila linapokuja suala la vitendo ndio shughuli yenyewe inapokuja. Ilo neno kujielewa kwa wanawake lina maana tofauti kabisa.
 
Back
Top Bottom