Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,013
- 14,263
ili uwapate kuwa muongo muongo tu basi, nasisitiza 'jua tu kuongopa'Hawa viumbe wako so sensitive kujua ww ni mtu wa aina gani just by looking at you, or kwenye first conversation. So pisi itakuelewa based on vitu vidogo ambavyo usingeweza kuvijua vina effect kubwa kwenye mtongozo.
Kingine semen retention wakuu, ili uwavutie punguzeni puli. Attractive nature ya mwanaume pia inaambatana na semen retention. Lastly kama ww ni kapuku stop chasing women utapoteza mda na nguvu bure. Jitengenezee success in whatever form na utakuwa valued.
Wewe ni kichaa, unasikitisha sana.Wao wameumbwa hivyo kusmel vya wanaume
Wewe ni mwanamke au mwanaume ?Kichaa mwenyewe usie weza kukubaliana na hali
Sikua na maajabu kabisa even a penny aiseh!!Watakuja wenyewe they smell that haraka mno
Mnatafuta vidada havijui hata kuandika, mnategemea nini..?wanawake hawa hawa wa marejesho ya BRAC na ASA?
I will be convinced tomorrow
View attachment 3002571
Elezea zaidi kuhusu semen retention.Mkuu uko sawa kabisa, na kuhusu attractive nature (purity) Hilo ni jambo la msingi sana.
😂 Daaah hii point imenipenya haswa.Nilikua hivyo zaman enz hizo na nilikua nikifungua kinywa ni point tupu, wife alinipendea hii tabia.
Siku hiz nisha vurugwa nachonga ile mbaya 😂
Aah mkuu...huo ni ukosefu wa lishe bora sio puli..ata ukiwa kitomb kama huli fresh utadhoofikaMkuu kupiga puli kuna punguza attraction unakuwa hauwezi kushine masculinity vizuri! Kama unabisha piga puli week nzima af ujiangalie kwenye kioo
Ukiongea nae Wapi ukiwa Vipi umemvulia? NDIO wanaume wote wakiwa wanapeleka Moto hawaongeiongei sana ni mwendo wa kusikilizia miguno TU au wewe HUYO fulani wako X alikua anapiga mastory Mengi HUKU anaisukumia ndani?Kuna wale wakaka wakimya ukikaa nae anaongea kwa kituo wana pepo yao..!🤸
Semen retention imekuwa neno geni kwangu mkuu, kama unafahamu vyema na Mimi unifahamishe Ni kitu gani hichoElezea zaidi kuhusu semen retention.