Af kuna wale wakiongea ni sentensi ya utekelezaji, Wakifika mbinguni wasipewe hata kazi ya kuimba wawepo tu wanatikisa kichwa huku wamekunja nneKuna wale wakaka wakimya ukikaa nae anaongea kwa kituo wana pepo yao..!🤸
Mashangazi yanaraha yake ila kama mwanaume hatujaumbiwa kupewa raha, tumeumbwa kutoa raha. You have to be the core provider lasivyo kuna nafsi itakua inakusuta flan hiviWengine tupo tupo tuu na mishangazi sa sijui inatuelewa kwa sababu gani...
Kama kila kitu yeye ndo provider
Atakuwa lucasKuna wale wakaka wakimya ukikaa nae anaongea kwa kituo wana pepo yao..!🤸
Kama wayahudiPesa inachoresha, hata ujifiche vipi pesa itakuchoresha tu mbele za watu.
Ndo maana dronedrake ni frailMkuu kupiga puli kuna punguza attraction unakuwa hauwezi kushine masculinity vizuri! Kama unabisha piga puli week nzima af ujiangalie kwenye kioo
I've not talked about depressed women either am talking about real awakened women. Wanaojua thamani yao, hao wengine hata ukimnunulia kiyepe twende tu bado hawajawa na maturity ya kusense au inakuwa blocked due to kashlash za duniani. Mm nimejifunza kwa ku engage nao kwa sana wakanifungulia codesUpo sahihi - kuhusu power of intuition wan awake wanaona mbele Sana
Ila inategemea usije itafuta intuition kwa depressed women utaumia
Personally I used to talk with my Mama she is the one who gave me the right insight in my life.
Kwamba anakitupa daily au?Ndo maana dronedrake ni frail
Basi hiyo nafsi ipo kwa wengine mkuu ila sio mimi...Mashangazi yanaraha yake ila kama mwanaume hatujaumbiwa kupewa raha, tumeumbwa kutoa raha. You have to be the core provider lasivyo kuna nafsi itakua inakusuta flan hivi
Ni kweli mzee ile treatment ni ya aina yake ila.... ngoj niishie hapo. It depends na nn unapendelea, ni bora lishangazi liwe kama lifariji hivi in times of troublesBasi hiyo nafsi ipo kwa wengine mkuu ila sio mimi...
Serious sojawahi jilaumu tangu niwe na mahusiano na watu wa namna hii.
Mkuu assume mtu ana ku treat as if ni mtoto wake...
Aaaaah acha tuu daah kuna siku taandika uzi humu sema wasifute tu maana mod wanazingua
I've not talked about depressed women either am talking about real awakened women. Wanaojua thamani yao, hao wengine hata ukimnunulia kiyepe twende tu bado hawajawa na maturity ya kusense au inakuwa blocked due to kashlash za duniani. Mm nimejifunza kwa ku engage nao kwa sana wakanifungulia codes
Mkuu mi sijari wala nini ila ndo hivo nainjoi kiufupi...Ni kweli mzee ile treatment ni ya aina yake ila.... ngoj niishie hapo. It depends na nn unapendelea, ni bora lishangazi liwe kama lifariji hivi in times of troubles
Hizi naomba unioe nishaambiwa na wanawake 4 mpaka sasa. Ajabu mpaka sasa sijaowa. Mmoja kati yao ameshaolewa. Yule alikua obsessed sana na ndoa, sidhani kama yalikua mapenzi.Kweli mkuu utasikia "naomba unioe"Hadi unashangaa!
Hasa kwenye college zetu hizo!
Tatizo swagger hamna, ukiwa na pesa swagg hamna napo shida tu, wanawake wanataka swagg..Kama wayahudi
Umenichekesha sana aisee! Yaani umenisema mimi jamaa yangu, siku hizi wife ananiambia busara imepotea kabisa! Kuvurugwa maisha haya si mchezo mkuuNilikua hivyo zaman enz hizo na nilikua nikifungua kinywa ni point tupu, wife alinipendea hii tabia.
Siku hiz nisha vurugwa nachonga ile mbaya 😂