Wanawake wanene (vibonge) piteni hapa mchukue maua yenu

Siku zinasonga sana. Siku hizi tako hilo na guu lake vinavaliwa tight yenye madirisha. Wahenga tunapata tabu.

Ila bwana old is gold asikuambie mtu😋
 
Sio wote mkuu uwez amin mim spend mwanamke bonge yaan akiwa mwembamba hata tak* lisiwepo lakin hana tumbo kipotabo mamaaa nahama kabisa kihisia na sichok....hata kitandan

Yaan spend vibong vinasumbua kwa bed ....lakin slim girl naweza mbeba hata na mech ikiendelea:
 
Mimi naonaga labda ni mifupa sababu dada yangu sioni kama ni mnene ila ni giant kama irene uwoya, mimi pia nikijiangalia kwenye kioo sijioni kibonge
Kwani una kitambi?😂
Sina kitambi. Kawaida tu. Nikiwaambia watu kilo zangu wanakataa ila mizani inasema hivyo
 
Kila mmoja na machaguo yake, Miki mwanamke mwembamba ananikosha sana ila mwanamke mnene namuona kama limzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…