Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Ramadhan Kareem!
Dada zangu, wadogo zangu wakike, pamoja na kina Mama, elimu hii ni muhimu Sana.
Dunia ya sasa imefikia pagumu Sana, hasa kwenye kipengele cha ndoa.
Kuweni karibu na binti zenu, wafanyeni marafiki, wafanyeni wawaamini, hakikisha Kama mzazi unamaarifa ya kutosha kumshauri binti yako. Dunia ya sasa sio inayokuja,
Wasaidieni watoto kutafuta wenza Bora wa maisha, bahati nzuri nature haiongopi, binti akishafikisha miaka 16/17 anaanza kuwa na ndoto ya kuolewa ilhali Kwa Vijana ndoto ya kuoa huanza miaka ya 23/24.
Mwanamke hujikuta akitamani kuzaa na tamaa yake huzidi maradufu afikishapo miaka 20-23, hapo Binti ambaye bado Hana mtoto hujikuta akitamani kuwa na mtoto.
Kwa mwanaume tamaa ya mtoto huzidi akiwa 28-31. Kwa umri huo mwanaume amekomaa vyakutosha kabisa halikadhalika Kwa mwanamke miaka 20-23, amekomaa vya kutosha. Kumaanisha umri wa binti kuolewa ni kuanzia miaka 20-23 akizidi Sana 27.
Wakati Kwa kijana umri wa kuoa ni 27-30 ikizidi Sana miaka 35.
Wazazi lazima wajitahidi kuwashauri watoto wao mapema namna Bora ya kupata mwenza mzuri wa maisha Kwa muda sahihi. Wasimuachie jukumu Hilo mtu yeyote, wapo wamama ambao wanashindwa kuongea na mabinti zao na kuwaachia watu wengine Kama mashangazi zao. Hilo sio sahihi.
Huyo ni binti yako, mjenge kifikra na kimtazamo tangu akiwa mdogo vile mwanamke anatakiwa awe, vile mwanamke anavyotakiwa azingatie muda kuliko kitu chochote.
Mfundishe mtoto; Asitafute kitu akiwa anakihitaji Bali atafute kitu akiwa bado Hana uhitaji nacho Sana.
Muulize mtoto, anatamani kuolewa akiwa na miaka mingapi? Akishakujibu Anza kumshauri.
Mfano mabinti wengi hupenda kuolewa wakiwa na miaka 23-27 hawa ni Wale mabinti wenye ndoto za kusoma na kufika mbali kielimu angalau Shahada moja. Ikiwa binti yako anamawazo ya namna hii basi mshauri aanze kutafuta mchumba tangu akiwa Kidato cha sita.
Usimuwekee mtoto mtizamo kuwa hawezi kushika mambo mawili ilhali anaona kuna watu wanashika mambo mawili na wamefanikiwa. Usipende kulazimisha Maoni(opinions) zako kuwa sheria Kwa mtoto, bali Uhalisia(Facts) ndio ziwe sheria Kwa mtoto.
Kusema mtoto hawezi kufaulu huku akishika mahusiano ya Mapenzi Kwa Kidato cha sita wakati wapo walioweza hayo ni maoni binafsi na wala sio facts.
Mtoto akiwa Chuo ndio wakati hasa wa kupalilia mahusiano yake ikiwezekana kuolewa akiwa anachukua shahada yake. Hii ni tofauti na Kwa kijana wa Kiume ambaye umri huo bado atakuwa mchanga na Hana uwezo wa kumhudumia mke na familia yake mpya aliyoianzisha.(nazungumzia wale Wanachuo Fresh from school ambao hawajachelewa shule)
Kipindi hiki binti anauwezekano mkubwa wa kupata mwenza sahihi wa maisha kuliko akisubiri umri huo upite atafute mchumba akiwa amemaliza chuo, yaani kumtafuta mume wakati unamhitaji ni hatari na unakuwa under pressure hivyo sio rahisi kupata mtu sahihi.
Ndio maana ninashauti angalau binti aanze mipango ya kutafuta mwenza akiwa kuanzia miaka 17-23 ili awe kuolewa Kati ya 20-25 hapo.
Na sio aanze kutafuta mume akiwa na umri 25+ hii itampa pressure na Kama atafanikiwa basi itakuwa ni bahati tuu lakini wengi hupata tabu Sana.
Mwanamke lazima afundishwe kutunza muda kuliko mwanaume. Mwanamke ni muda. Hilo lazima mwanamke yeyote aliyekamilika alielewe.
Yapo madhara mengi ya mwanamke endapo ataenda kinyume na nilichoandika, madhara hayo ni Kama vile;
Usichana unapopotea fahari ya umama hushika hatamu.
Kumbuka umri wa umama sio umri wa kuchumbiwa.
Ngozi kulegea Maeneo muhimu kama Mashavu, mapaja, na mikunjo kwenye Uso huanza kujitokeza kwenye macho.
Kiharusu cha kiutu uzima kwenye jasho na mdomo na pua huanza kujitokeza.
Hivyo ni vyema Binti ajitahidi mpaka umri huo awe ameshaolewa au tayari ameshaenda kumtambulisha Kijana kwao na keshatoa mahari,
Kadiri umri unavyoongezeka ndivyo thamani ya mwanamke kwenye solo la ndoa hupungua. Ndio maana wazazi huwashinikizaga mabinti zao wasichelewe Sana kwa kuogopa hatari hiyo.
Kila siku newcomer wanaingia sokoni, watoto wabichi pisi Kali za Moto. Hivi kweli kijana aache kuchukua binti mkali wa miaka 23 aje akuchukue mwanamke mkali wa miaka 32. Embu hata wewe jiulize, mtu aache kuchukua namba D achukue namba B kweli. Yaan utumie akili ya kawaida tuu.
Msichana huwa sokoni tangu akiwa anamiaka 15 vimaziwa vikiwa nimesimama Dede, wanaume wanakuwa wanakodoa macho. Hiyo ni mpaka miaka 25, tena hiyo 25 ni kwawale wenye miili mizuri isiyozeeka haraka ambao hata hivyo ni wachache.
Mwanamke ni muda. Hilo Msichana anatakiwa ajengewe tangu akiwa hajaota Meno.
Unaweza sema ni Sawa Kwa vile umpumbavu lakini hujafikiria vizuri katika mawanda mapana,
Hujafikiria kuhusu masuala ya kutoshana kitandani Kwa umri huo WA huyo mwanaume,
Hujafikiria je watoto watakaozaliwa watafurahia kumuona Baba Yao akiwa Kama Babu Yao. Mtoto anamiaka 12 Baba anamiaka 63, je mtoto wako atakuwa na furaha.
Sio unafanya mambo Kama mpuuzi tuu bila kuangalia miaka 10/20 ijayo utakuwaje.
Ukweli ni kuwa wanaume wengi hawapendi kuoa single mother, labda wawatumie Kama mchepuko, na Kama atakuoa basi mitafaruku ya hapa na pale ni rahisi kujitokeza hasa Kwa jamii yenye kipato cha chini(ambao wengi wetu ndio tupo).
Na kama huna Mtoto na umeolewa na umri labda ni miaka 34, hii Kwa baadhi ya wanawake uzazi unakuwa unaleta shida. Sasa shida yote ya nini, sinibora ungeoleea mapema uepushe baadhi ya mambo makubwa.
Hutakuwa mke WA ujana wake Jambo ambalo halifurahishi Kwa kweli.
Biblia inawataka wanaume; wawakumbuke Wake wa ujana wao.
Lakini Wake wa umri mkubwa Biblia imekaa kimya.
Ningeweza kukupa Logic ya Jambo hili lakini Hilo nitaeleza siku ingine.
Nawashauri Wazazi na wanawake kuna mambo muhimu Sana ya kuyazingatia Kwa mabinti zetu lakini muda ndio Jambo kubwa kuliko yote.
Mwanamke akipoteza muda kamwe hauwezi kufidiwa lakini mwanaume muda wako kamwe hauwezi kupotezwa.
Ndio maana wanawake watakulaumu Kwa yote lakini kamwe hawawezi kukusamehe Kwa kuwapotezea muda wao, kwani hawawezi wala hautaweza kuufidia.
Binti Kama unamchumba ni vizuri akajitokeze kwenu, waambie wazazi kabisa Hali ya mchumba wako ikiwa ndio unampenda. Ajitokeze, atoe zawadi kadiri ya uwezo wake, kisha mambo mengine yaendelee.
Vijana wengi wanakwamishwa na mambo mengi ikiweko taratibu walizozikuta ndani ya jamii Kama vile kutoa mahari, ambayo baadhi ya wazazi hu-take advantage kwa kutaja mahari kubwa, mathalani mahari kijana anaambiwa milioni Moja, ambayo hajawahi kuishika mpaka anafikisha umri wa miaka 28. Unafikiri ataenda kwenu kujitambulisha?
Wazazi wenye watoto wa kike lazima hili muliangalie Kwa jicho pevu, sio mnasubiri mtoto wenu jua likizama ndio mnapunguza mahari.
Vijana na mabinti, msitake kufunga Harusi kubwa ambacho haziendani na Hali zenu kiuchumi.
Hii pia ni sababu ya Mabinti wengi kuchelewa kuolewa, na vijana kuchelewa kuoa.
Harusi kubwa au ndogo haitakusaidia popote kwenye ndoa yako zaidi ya sifa tuu ambazo hazina msingi wowote.
FANYENI sherehe ndogo kulingana na uchumi wenu. Kisha FANYENI maisha, mjijenge kiuchumi mkiwa pamoja, mzae Kwa akili ili uchumi usiwasumbue. Siku Mungu amewabariki mnaweza kufanya sherehe kubwa hata miaka kumi inayofuata.
Hiyo ndio akili, sio unachelewa kuoa na kuolewa kisa kutaka sherehe kubwa alafu unajikuta unakosa mchumba, unakosa ndoa, unakosa Harusi yaani unakosa yote Kwa pamoja.
Wakati ungekubali sherehe ndogo ungempata mchumba, ndoa pamoja na sherehe, kisha baadaye ufanye mzigo mkubwa uutakao.
Kwa leo niishie hapa!!
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa SINZA, Dar es salaam

Mwanamke huanza kufifia uzuri wake kuanzia miaka 27. Yaani ile fahari ya usichana inayeyuka polepole na akifikisha miaka 30 uzuri unazidi Kupungua Kwa Kasi.1. Mabadiliko Hasi ya kimaumbile.
Usichana unapopotea fahari ya umama hushika hatamu.
Kumbuka umri wa umama sio umri wa kuchumbiwa.
Ngozi kulegea Maeneo muhimu kama Mashavu, mapaja, na mikunjo kwenye Uso huanza kujitokeza kwenye macho.
Kiharusu cha kiutu uzima kwenye jasho na mdomo na pua huanza kujitokeza.
Hivyo ni vyema Binti ajitahidi mpaka umri huo awe ameshaolewa au tayari ameshaenda kumtambulisha Kijana kwao na keshatoa mahari,
Mwanamke ni tofauti na Mwanaume pia katika kipengele cha uthamani katika soko la ndoa.2. Kushuka/ Kuchuja Uthamani katika Soko la waolewaji.
Kadiri umri unavyoongezeka ndivyo thamani ya mwanamke kwenye solo la ndoa hupungua. Ndio maana wazazi huwashinikizaga mabinti zao wasichelewe Sana kwa kuogopa hatari hiyo.
Kila siku newcomer wanaingia sokoni, watoto wabichi pisi Kali za Moto. Hivi kweli kijana aache kuchukua binti mkali wa miaka 23 aje akuchukue mwanamke mkali wa miaka 32. Embu hata wewe jiulize, mtu aache kuchukua namba D achukue namba B kweli. Yaan utumie akili ya kawaida tuu.
Msichana huwa sokoni tangu akiwa anamiaka 15 vimaziwa vikiwa nimesimama Dede, wanaume wanakuwa wanakodoa macho. Hiyo ni mpaka miaka 25, tena hiyo 25 ni kwawale wenye miili mizuri isiyozeeka haraka ambao hata hivyo ni wachache.
Mwanamke ni muda. Hilo Msichana anatakiwa ajengewe tangu akiwa hajaota Meno.
Endapo utachelewa kuolewa katika muda tajwa hapo ukachelewa labda ukasubiri mpaka unamiaka 30 hapo tegemea kuolewa na mtu ambaye hujamtarajia kwenye maisha yako. Labda ulipenda uolewe na Agemates wako lakini utashangaa unaolewa na mtu aliyekuzidi miaka 15 yaani mwenye miaka 45-55 huko.3. Kuolewa na mtu usiye mpenda na mwenye umri mkubwa
Unaweza sema ni Sawa Kwa vile umpumbavu lakini hujafikiria vizuri katika mawanda mapana,
Hujafikiria kuhusu masuala ya kutoshana kitandani Kwa umri huo WA huyo mwanaume,
Hujafikiria je watoto watakaozaliwa watafurahia kumuona Baba Yao akiwa Kama Babu Yao. Mtoto anamiaka 12 Baba anamiaka 63, je mtoto wako atakuwa na furaha.
Sio unafanya mambo Kama mpuuzi tuu bila kuangalia miaka 10/20 ijayo utakuwaje.
Kuchelewa kuolewa husababisha kuchelewa pia kupata mtoto. Na Kama utakuwa na mtoto basi utadababisha Kwa sehemu kubwa mtafaruku usio wa lazima ndani ya familia.4. Uzazi kusumbua.
Ukweli ni kuwa wanaume wengi hawapendi kuoa single mother, labda wawatumie Kama mchepuko, na Kama atakuoa basi mitafaruku ya hapa na pale ni rahisi kujitokeza hasa Kwa jamii yenye kipato cha chini(ambao wengi wetu ndio tupo).
Na kama huna Mtoto na umeolewa na umri labda ni miaka 34, hii Kwa baadhi ya wanawake uzazi unakuwa unaleta shida. Sasa shida yote ya nini, sinibora ungeoleea mapema uepushe baadhi ya mambo makubwa.
Umri wa kupata mume ni kuanzia miaka 17-25 kuchelewa zaidi ya hapo ni kutafuta mshirika katika maisha.5. Huo sio umri wa kupata mume Bali Mshirika.