Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Mabinti kuanza kuchumbiwa below 18.Unapromote Nini mkuu
Behind the scenes
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabinti kuanza kuchumbiwa below 18.Unapromote Nini mkuu
Behind the scenes
Sijakataa na ndio hao wanaoangukia pabaya.Nimemuelewa sana mshikaji Ila tatizo lipo kwenye uhalisia wa Mambo hasa kwa apande zote mbili
Mfano kitu kinaitwa uvumilivu
Mkuu kwa Rika la vijana wengi 18 - 25 au mpaka 29 wengi hawajajipanga na kuweza kumudu mahitaji ya familia na jamii
Hapa uvumilivu unahitajika kwa upande wa kike
Kwa age ya 18 - 25 hapa mwanamke huhitaji kuonekana ni mrembo na huhitaji kuenda na fashion ya dunia
Mkuu nakuuliza swali kabla sijaendelea
Ni Mara ngapi umesikia kuhusu wanawake wa Sasa kuiweka pesa mbele kuliko future za familia zao
Utasikia Hana hela wa Nini mimi
Mchumba anataka kusuka,kuvaa, outing, na baadhi ya vitu ili kuendana na utamaduni wa jamii ya Sasa
Ukizingatia jamaa ni jobless
Mi nashauri vijana wajiimarishe kiuchumi ili kuweza kumudu familia zao sikuizi wanamke wanaolewa kupunguza ukali wa jua kuwawakia
Mkuu testsr:uko talibanil.ya buza niniSafi sana! Sambamba na kuruhusu wajawazito kuendelea na masomo pia waruhusiwe kuolewa kabisa.
Yaani binti wa O-level awe anatoka nyumbani kwa mumewe kwenda shule na kurudi.
Miaka 15 anafaa kuolewa.
Stay Taliban.
Hapo ndio pagumu mkwangu😀😀😀😀
Wanawake wanatabia ya kuangalia wanaume wa kuwanyoosha
SAHII kabisa [emoji4][emoji106]Haya mambo huwa n marahs kuyaongea kma ww s muhuska, utamu wa ngoma n kuingia na uanze kucheza.
Wote tnapenda kwenda na muda, hakuna apendaye kupoteza muda lkn kuna mambo huwa nje ya uwezo wetu.
Yote kwa yote nmekuelewa..........
Wife nmemuoa akiwa na 20yrs, sijutii[emoji4]Mwanamke wa miaka 18-24 ukimuoa unajitaftia mabalaa tu! Labda ukaolee Muheza huko kijiji cha Amani, ila sio hawa mapaka wa mjini ambao wanasomea IFM ama UDSM ambao wanazurura kwenye ma Bar na ma Club kila weekend untanyooshwa!
Hakuna deadline ya kuolewa. Mwezi uliopita nimeshereheka na marafiki ndoa ya mmoja wetu akiwa na miaka 50.
Sawa mkuu tutafanya hivo
Kwa kweli aliyetayari kuolewa anitafute maana Niko tayari kuoa
Hapana. Huo ni mtazamo wako, huwenda kila mtu akawa na mtazamo tofauti kutokana na jamii tulizokulia . Binafsi kwa jamii niliyokulia ndoa hua nikuamzia miaka 40kwa jinsia zote.Kwenye maisha kamwe usizingatie zaidi vitu Exceptional, utakwama!
Kila Jambo linamuda wake,
Kuna Muda wa kuolewa na kuoa, kutokana na majukumu ya ndoa.
Hapana. Huo ni mtazamo wako, huwenda kila mtu akawa na mtazamo tofauti kutokana na jamii tulizokulia . Binafsi kwa jamii niliyokulia ndoa hua nikuamzia miaka 40kwa jinsia zote.
Bahati mbaya sana siwezi kuendelea kukujuza kwasababu hauna imani na maneno yangu. Ila ndoa huku nilipo ni last priority.Yaani wanawake huko kwenu wanaolewa 40+ 😂 embu tafuta namna ya kuweka uongo wako vizuri.
Tofautisha mtazamo wa mtu au jamii na uhalisia,
Miaka 40 mwanamke ameshakuwa Mzee, au unazungumzia ndoa ya pili au ya NNE?
Unafikiri 40 mchezo Wewe.
Hiyo 40 tuu wanawake wengi mimba zinapaa alafu mtu ndio aoe au kuolewa umri huo.
Haya niambie ni wapi huko kwenu ili tumalize hili,
Bahati mbaya sana siwezi kuendelea kukujuza kwasababu hauna imani na maneno yangu. Ila ndoa huku nilipo ni last priority.
Kuongea ni mali ya mdomo. Ukiwa muongeaji sana kuna vitu vingi sana utavikosa. Anyway kaa na unachokiamini, sio vyema kubishana na huenda hakuna sababu mana hunilipi.Mimi sio Wale watu wakuendekeza Imani mbele kuliko AKILI.
Ndio maana nikakuambia nitajie hiyo sehemu hata Kama ni kuzimu tuijue, Kwa faida ya watu wengi hapa.
Kutokutaja kuna maanisha ulichosema ni mtazamo wako WA uongo.
Kama ni ukanda wa Pwani ndio Kabisa wengi wanaolewa hata kabla ya miaka 22. Tena ninyi Waislam ni nadra Sana mwanamke kufikisha miaka 25 bila ya kuolewa Kwa hapa nchini.
Sasa nitajie hiyo sehemu ili kutetea maneno yako.
Tafuta hela wewe. Mzee Reginald Mengi amezaa na Ntiywbaliwe akiwa miaka 64. Mapumziko yao wakawa wanayafanya visiwa vya Hawaii, Dubai na Kwingineko.Hujafikiria je watoto watakaozaliwa watafurahia kumuona Baba Yao akiwa Kama Babu Yao. Mtoto anamiaka 12 Baba anamiaka 63, je mtoto wako atakuwa na furaha.