Wanawake wasilalamike kuachwa, wajiangalie tabia zao

Ndio shida hiko hapo. Mimi niliwashirikisha wazee wakanitafutia katoto ka kinyantuzu keupe naona sio haba ukilinganisha na watoto wengine hawa wa mjini waliosoma.
Ajakata kamba huyo ngoja afundishwe na makungwi wa mji.Bora kuruka na manungaembe haya haya ya town kuliko kuimport bush wengi wamejuta.
 
Nimekuelewa sana, basi yule tulikua tunazini nae miaka yote hiyo alivyoanza kubadilika nikamuacha na kumfata mwingine lakini lawama kila siku ya kwamba nimemuacha lakini anashindwa kuelewa why nimemuacha?
 
Ajakata kamba huyo ngoja afundishwe na makungwi wa mji.Bora kuruka na manungaembe haya haya ya town kuliko kuimport bush wengi wamejuta.
Sipo mjini nipo kijijini mkuu
 
Bandungu nimeona wanaume wengi ni wanafiki. Kwenye vikao vyetu tunakubaliana tuwagegede na no kuoa lakini mtaani mambo ni tofauti kabisaaa
Unajisaliti.... Tulia uone December rfk zako wanavyokuja na card za harusi za kushato
 
Nimekuelewa sana, basi yule tulikua tunazini nae miaka yote hiyo alivyoanza kubadilika nikamuacha na kumfata mwingine lakini lawama kila siku ya kwamba nimemuacha lakini anashindwa kuelewa why nimemuacha?

Unajua wanaume hamna mnachopoteza hata mkae kwenye mahusiano miaka 10 utaamka jmosi utaoa… issue inakuja upande wa Ke sisi tunaenda na wakati yaani ukipita ule wakati ambao tulikuwa tunavumaa yaani waoajii ni wengii basi habari yetu kwishaa
Hapo sasa unakuta waoajii wanapungua ubaya utakuta umeishi na huyo dada tangu akiwa na miaka labdaa
23 +6=29 sasa range mbaya sana hiyo unamuacha dada wa watu akiwa mzee mmmh ukirogwa atakuwa kakukosea kweli???
 
hakuna cha usukumani wala wapi,yupo jilani hapa kamkimbia mke wake na kumwachia nyumba hana hamu na huko unapopasema bariadi..hilo swala ni kama kubeti.
 
Umeongea ukweli. Lakini Mimi nilikua nae kama rafiki since anasoma nilikua advance yeye o-level hata age yake ni 23...nimemjua tokea yuko form one. bado ni mdogo nimeamua kumuacha mapema ili apate mda mwingi wa kuanzisha mahusiano yaliyo sahii.
 

Apostle kuna muujiza hapa
 
Kuna wanawake wengine ukiwa tizama ,unasema mpaka huyu naye anatafuta mume, binti kuanzi juu mpaka chini yupo vizuri na ndipo unapo wakumbuka wahenga waliposema mwanamke ni tabia.

Ila kwa dada zangu ambao financial wapo stable au wameenda shule wengi wana struggle kutafuta waume wa kuwaoa.
 
Mara mseme nyie super woman u dnt need a man mara mnataka ndoa sasa unashindwa elewa wat do u want?
Alafu weee miaka sita yote umekaa tuu u agegegdwa bila ndoa ustuki tuu. Yaani u aonyesha kabisa hujithamini sasa y mwanaume akuthamini
 
Kuna ukurasa umerukwa hapo... Mwanetu mwaka wa 2 TU anaanza kutoa ushuhuda😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…