Wanawake wasilalamike kuachwa, wajiangalie tabia zao

Kaka hili Tangazo umelipia Tozo?
 
Inauma sana unamgandisha mtu 6yrs then unakuja kuoa mwingine. Ukipigwa juju usilalamike.
Sababu ni moja wanaume hamueleweki unaweza kumgandisha dada wa watu na usimuoe kama hivyo ulivosema unakaa na mtu miaka 6 alafu unakuja kuoa mwingine….
Sasa lazima kuwe na akiba tukiona huelewekii tunaamia kwingine
 
Afadhali utusemee.
Ukiwa wife material unapigwa matukio mpaka unabadilika halafu wanakuja kulalamika eti wanawake hawajielewi kumbe mtu kashaathiriwa mpaka kabadilika
Hii nayo imesababishwa na wanaume kwa kweli.

Wanawaka tunaweza kuwafanya vile tunavyotaka. Vizuri au vibaya.
 
Bandungu nimeona wanaume wengi ni wanafiki. Kwenye vikao vyetu tunakubaliana tuwagegede na no kuoa lakini mtaani mambo ni tofauti kabisaaa
Hehehe wanawasaliti kila siku mitaani twasikia vigelegele tu
 
Bandungu nimeona wanaume wengi ni wanafiki. Kwenye vikao vyetu tunakubaliana tuwagegede na no kuoa lakini mtaani mambo ni tofauti kabisaaa
Tunagegeda mkuu ila tunaoa wakawaida mno no pisi Kali, wewe ndo umekiuka maelekezo ya kikao chetu .
 
Ata mie nimegundua hawa ndio yakiwakuta huko wanakuja kulia lia hapa jf.
Itabidi na mie nichungulie upande wa pili wanapewa nini cha ajabu mpaka kulamba asali hakutoshi wanaamua kuchonga mzinga kabisa
Tunachonga mzinga wa nyuki wakubwa ila tunalamba asali ya nyuki wadogo , nyuki wadogo ukichonga mzinga ukirina vibaya tu wanasepa bora ulambe asali tu bila kuchonga mznga, kwan ata nyumba yao ni ghali, bora ya nyuki wakubwa wao hawanaga noma[emoji847]
 
Wanyantuzu huoana wao kwa wo tu. Kama ww si mnyantunzu kwa huyo binti jiandae kisaikolojia hasa ukisha lipa mahari
 
...kukaa na wanawake wa kidigitali ni mtihani sana. Wanaume wengi wanaogopa kuwaoa.

Ukioa unakuwa kama umemwoa mwanaharakati.
 
mi juzi nilienda mahali wakati ibada fulani wanawake wakiombewa wapate wa kuwaoa na yeye anasema et amina jamani nami ntampata,asee nilishangaa yaani yule dada kwa tabia zile nani anaweza kumuoa,
 
Bandungu nimeona wanaume wengi ni wanafiki. Kwenye vikao vyetu tunakubaliana tuwagegede na no kuoa lakini mtaani mambo ni tofauti kabisaaa
sio kila mwanamke ameumbiwa kuolewa, ndoa waachiege wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…