Wanawake wasomi hawaolewi kwa sababu hizi...

Wanawake wasomi hawaolewi kwa sababu hizi...

Tusiposomeshwa tabuu na tukisomeshwa tabuu. Tukiwa na ki Mia 2 tabu tusipokuwa nacho pia tabu.

Asee ninamshukuru sana mzazi wangu aliyejinyima ili nipate elimu hadi pale mimi mwenyewe niliposema basi mama inatosha.

Ninaahidi kumsomesha binti yangu pindi nikimpata (ambaye ninamuomba Mungu kila siku anipatie mtoto wa kike) hadi pale ambapo yeye mwenyewe atasema basiii inatosha. Elimu ni nguzo muhimu sana kwa mtoto wa kike. Ni wanaume dhaifu tu wanaoona ni kikwazo kwa sababu ya inferiority zao...
Inferiority mbele ya usumbufu, are even serious?
 
Sababu ya 4 umeitoa kwa hasira sana, sidhani kama mwanamke msomi ndio muasherati....

Gender Equality imekua mkombozi mkubwa kwa Mwanamke na Mtoto wa Kike ukilinganisha na karne za nyuma ambazo zilikua zinamdharau Mwanamke na kumuweka daraja la chini kabisa...

Si kweli kua Mwanamke msomi haolewi ila ni vijana ambao wana inferiority Complex na Insecurity walioathiriwa na mfumo dume katika familia na jamii zao ndio hawawezi kuwaoa Wanawake wasomi.
Good point
 
Na sio feminist wote... nadhan unaongelea radical feminists.

Sasa hivi feminist hawapo kwenye kubomoa ila kukumbusha wanaume na wanawake traditional roles zao na sio zaidi. (Jaribu kusoma contemporary theories za feminism uone wenzio walishaondoka huko kwa radicals ).
Feminists gani hao unaowazunguzia , feminists unaowasema watakuwa wa Iraq au Iran. Hawa ninao wajua kwa sasa ajenda zao ni kupromote LGBTQ kupitia meet too movements, kutetea na kuunga mkono abortion, kuunga mkono gender transformation surgeries, kupambana na kuichafua Patriarchy etc. Of which that's radical.
 
Mfano wewe binti yako asipofika elimu ya juu utajisikiaje? Kama hutaki hutaki kumsomesha unazalisha mambumbumbu.
Feminist haitokani na usomi ..inatokana na matunda ya usomi Nina maana gani?[emoji116]

Elimu zipo nyingi na binadamu anatumia akili kung'amua Yale aliyosoma sio kila kitu ukubali ni kwamba ukiambiwa "Binadamu wa kwanza ni nyani" ,ukija kushirikisha ubongo unajua hapa nimepigwa kabisa.

Nakuja[emoji117] Tatizo sio elimu tatizo ni Feminist ambayo mtu anashindwa hata kujua maumbile yake ya asili yalivyo kwamba na mwanaume hawapo sasa ila wanatokea washamba fulani wanamwambia Tena akiona article zimeandikwa kingereza ndo basi anaweka kichwani bila ya kushirikisha ubongo.

Feminist kwa nn ni hatar na sio usomi.

[emoji116][emoji116]
1.Feminist wanaona mamlaka ya mwaume ni waliopewa upendeleo angalia wanawake waliopo kweny mambo ya feminist wengi Wana tamaa za pesa na madaraka ili watawale ila unakuta asili yao haitaki ndo maana mpaka leo hapo Marekani hapajwahi kutokea raisi wa kike japo wanagombania sana.

2.Feminist wengi wameacha a na tamaduni za asili na kukimbilia uzungu,baada tu ya kujua kingereza wanajikuta wazungu tayar kamili ilihali ni weusi kama vumbi la mkaa ila hawajitambui..Dharau kibao.

3.Feminist hata swala la asili la kuzaa hawataki na tunapoenda kunyonyesha wataanza kuwaiga wazungu (wanatumia maziwa ya kopo ila matiti yao yasishuke) haya yote kutokana na tamaduni za nje..Hawataki kupitwa na jambo wawe sambamba na wanaume eti wakizaa wanazeeka mapema.

Feminist ni cultural imperialism na sio kusoma ,hautokuja sikia mambo hayo kule kwa Kim kiduku (Korea) wala Taliban maana wako strictly kupambania jamii zao zisingie huko mtego
You are right
 
Frankly!!!

Akitokea kijana leo akaniomba ushauri kwamba ana wanawake wawili,mmoja msomi na ana kazi nzuri take home yake Tsh 1.5mill na mwengine la saba anayeweza ku-control kijiduka kidogo kidogo tu cha familia huko mtaani nitamwambia aende na wa la saba.

Hata kama huyu wa la saba akawa tegemezi still nitasimama nae.
Tatizo hamjiamini,mke lazima awe chini ya mume wake,full stop
 
Sababu ya 4 umeitoa kwa hasira sana, sidhani kama mwanamke msomi ndio muasherati....

Gender Equality imekua mkombozi mkubwa kwa Mwanamke na Mtoto wa Kike ukilinganisha na karne za nyuma ambazo zilikua zinamdharau Mwanamke na kumuweka daraja la chini kabisa...

Si kweli kua Mwanamke msomi haolewi ila ni vijana ambao wana inferiority Complex na Insecurity walioathiriwa na mfumo dume katika familia na jamii zao ndio hawawezi kuwaoa Wanawake wasomi.
Wewe ni Ke afu unatusemea sisi Me kama nani?

Yani unawajua sana Ke kuliko sisi ambao tumeshakutana nao katika mahusiano wakiwa negatively affected kwa huo ujinga wa feminism?

2017 kuna Ke mmoja nilikuwa nachukua naye cheti cha bachelor degree Chuo kikuu cha T.I.A. yule Ke alinishangaza sana.

Eti "Nani kakwambia mi nataka kuolewa? kuolewa ni kupoteza muda na ndoa ni utumwa, mi sitaki kusimamiwa wala kuongozwa na Me yeyote yule katika maisha yangu, natafuta Mume wa Mtu anizalie Watoto wawili tu kisha baada ya hapo Watoto wakishaanza kukua tusijuane maana nina uwezo wa kuwahudumia mi mwenyewe nikiwa nafanya kazi na kuwapatia mahitaji yote muhimu ya kibinadamu"

Kurubembe kama hilo utalioa vipi?

Wengine wapo kama wanne hivi ukitaka reference pia nitakuelezea hapa hapa.

Je huko walipoanzisha ujinga wa HAKI SAWA wamepatwa na nini haswa kwenye ndoa zao hadi kuenenda na NDOA ZA MIKATABA?

Watoto wameathirika kiasi gani kwa kuvunjika ndoa zao tokana na ujinga wa hao Feminists?

Huo utetezi wa HAKI SAWA Mungu hakuuona hadi aliamua kumpatia Me mamlaka ya kuwa kichwa cha familia katika ndoa?

Mashoga, Lesbians wangapi wameongezeka kwa huo ujinga wa HAKI SAWA?

Kubali, kataa kiuhalisia huo utetezi wa kipumbavu wa HAKI SAWA hautakaa upatikane kamwe kutokana na asili ya Ke kuumbwa ni kiumbe dhaifu kinachohitaji kuongozwa na Me sababu hakina maamuzi thabiti tokana na ujinga wake wa kuamini uwongo kirahisi rahisi sana kuliko Me, ndiyomaana hata shetani alimtumia huyo huyo Ke badala ya Me bustanini Eden.

Si kila kitu ni cha kuiga iga tu hapa duniani, matokeo yake ndiyo hayo panya roads kibao mitaani sababu Ke yuko bize na kazi 24 hours/7 days bila ya kupata muda wa kumpatia Mtoto malezi bora.

KATAA HAKI SAWA.

KATAA FEMINISM.

KATAA KUIGA IGA MILA NA DESTURI ZISIZO ZA TZ KUOKOA KIKAZI CHA LEO NA KESHO.
 
Hivi kweli uolewe na bakhresa au manji au dangote kila kitu kipo mezani kweli kelele za usawa ziwepoo???

Ni wanaume waganga njaa tu ndo wanaona kuonewa na wasomi.
Anyways tafuteni hela.

Wewe empty set unayejitahidi kuniquote asee sitakujibu kamwe ....I mean NEVER. Nshakujua ww ni low brain.
1. Dangote.

2. Bill Gate.

3. Jeff Bezzos.

4.................... Ongezea wengine ambapo wote hao hawana Wake katika ndoa walitemana nao.

Huwezi kuchukulia pesa ni kigezo cha Mke kudumu katika ndoa hiyo ni Big NO.

Vipi wakiyumba kiuchumi, au unadhani kila siku utakuwa njema tu kifedha?

Pesa ni jambo la kuboresha tu mahusiano lakini tabia njema ndiyo kigezo cha kwanza katika ndoa.
 
Waajiri nao haswa serikali inachangia kuharibu ndoa za watu. Mke anahamishwa bila kujali mwenzi wake na hata kama wote wapo serikalini hakuna consideration.
Yaani mke akipata kazi ni balaa na akipandishwa cheo ndo basi tena sahau mke.. waliooa wasomi na waajiriwa cha moto wanakiona.
[emoji38][emoji119]
 
Sababu ya 4 umeitoa kwa hasira sana, sidhani kama mwanamke msomi ndio muasherati....

Gender Equality imekua mkombozi mkubwa kwa Mwanamke na Mtoto wa Kike ukilinganisha na karne za nyuma ambazo zilikua zinamdharau Mwanamke na kumuweka daraja la chini kabisa...

Si kweli kua Mwanamke msomi haolewi ila ni vijana ambao wana inferiority Complex na Insecurity walioathiriwa na mfumo dume katika familia na jamii zao ndio hawawezi kuwaoa Wanawake wasomi.
Huku vyuo wengi wenu mnafanya umalaya tu, mwanamke anakuwq na mabwana watatu, mnatoa mimba. Yaani mabinti walio wengi kama wamemaliza chuo, utakuta wametumika sana na papuchi zao zishachoka.
 
Mfano wewe binti yako asipofika elimu ya juu utajisikiaje? Kama hutaki hutaki kumsomesha unazalisha mambumbumbu.
Feminist haitokani na usomi ..inatokana na matunda ya usomi Nina maana gani?👇

Elimu zipo nyingi na binadamu anatumia akili kung'amua Yale aliyosoma sio kila kitu ukubali ni kwamba ukiambiwa "Binadamu wa kwanza ni nyani" ,ukija kushirikisha ubongo unajua hapa nimepigwa kabisa.

Nakuja👉 Tatizo sio elimu tatizo ni Feminist ambayo mtu anashindwa hata kujua maumbile yake ya asili yalivyo kwamba na mwanaume hawapo sasa ila wanatokea washamba fulani wanamwambia Tena akiona article zimeandikwa kingereza ndo basi anaweka kichwani bila ya kushirikisha ubongo.

Feminist kwa nn ni hatar na sio usomi.

👇👇
1.Feminist wanaona mamlaka ya mwaume ni waliopewa upendeleo angalia wanawake waliopo kweny mambo ya feminist wengi Wana tamaa za pesa na madaraka ili watawale ila unakuta asili yao haitaki ndo maana mpaka leo hapo Marekani hapajwahi kutokea raisi wa kike japo wanagombania sana.

2.Feminist wengi wameacha a na tamaduni za asili na kukimbilia uzungu,baada tu ya kujua kingereza wanajikuta wazungu tayar kamili ilihali ni weusi kama vumbi la mkaa ila hawajitambui..Dharau kibao.

3.Feminist hata swala la asili la kuzaa hawataki na tunapoenda kunyonyesha wataanza kuwaiga wazungu (wanatumia maziwa ya kopo ila matiti yao yasishuke) haya yote kutokana na tamaduni za nje..Hawataki kupitwa na jambo wawe sambamba na wanaume eti wakizaa wanazeeka mapema.

Feminist ni cultural imperialism na sio kusoma ,hautokuja sikia mambo hayo kule kwa Kim kiduku (Korea) wala Taliban maana wako strictly kupambania jamii zao zisingie huko mtego
Hujasikia wanawake wanaoomba talaka, wengi ni wasomi? 86%
 
Hujabahatika... ogopa hivyohivyo

Chuo fulani hapa Bongo maarufu... sitataja jina... kuna Dr. wa kike alikuwa anabanduliwa na kijana mfanya usafi.

UDSM mnamo mwaka 2014, 2015 au 2016 kuna Mmama ni Dr. Aliolewa na muuza matunda. Shauri yako sasa
Wee hanithi mbona wewe unapigwa mbupu takoni na boda na wapiga debe?
 
Sasa hivi gender theories zimejikita kwenye ku educate men to be men maana wengine walishasahau majukumu yao ya kiume (najua wengi mtabisha ila hili nalo ni somo la siku nyingine).
Pale ambapo mwanaume atajitambua kama mwanaume hataweza kuogopa usomi au kipato cha mwwnamke.
Jioni njema.
Kama ukininukuu naomba uwe akili kubwa....
Hii thread ina Feminist mmoja mkuu ambae ni wewe naona unapambana sana pingana na ukweli . Mimi ni msomi lakini wanawake wa kisomi walosoma sana kwenye ndoa wanachangamoto nyingi sana hasa kujifanya nao wanaume.

Mwanamke msomi huwa na hulka ya kuacha majukumu na wajibu wake kama mwanamke na kuanza kufanya majukumu ya wanaume mwisho anajikuta kaingia kutafta haki kwa ndoa wote si tumesoma

Mfano mke anatakiwa wajibika kwa mume kwa vitu kama usafi wa nyumba, kumpikia mume, kumjali, kutii, heshima, kuwa mama na mke nk. Sasa mke akiacha haya anajikuta anakua jike dume, yaani. Ukiangalia vizuri hizo sifa wanaume hatuna tunazitafta kwa mwanamke sasa mke nae anaziacha nae analeta usomi.
 
Back
Top Bottom