Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
Na hao wanaume ambao hawajielewi wanalelewa na ma feminist kama ninyiSasa hivi gender theories zimejikita kwenye ku educate men to be men maana wengine walishasahau majukumu yao ya kiume (najua wengi mtabisha ila hili nalo ni somo la siku nyingine).
Pale ambapo mwanaume atajitambua kama mwanaume hataweza kuogopa usomi au kipato cha mwwnamke.
Jioni njema.
Kama ukininukuu naomba uwe akili kubwa....