Wanawake wasomi hawaolewi kwa sababu hizi...

Wanawake wasomi hawaolewi kwa sababu hizi...

Umemaliza mama/baba.
Ndo gender theories za sasa zinawakumbusha majukumu yao kama traditional men ili heshima iwepo.
Bill gates na hela zake yamemshinda. Pesa sio solution kwa mke alie aribiwa mindset na mfumo wa elimu wa haki sawa
 
Hizi ndoa za wasomi zinazofungwa kila siku huku mitaani ni za wanawake wa nchi gani?
Kufungwa kwa ndoa ni siku moja , kuishi ndoa ndio zinawashinda huoni rate ya kupeana taraka inavopanda hasa mijini kuliko jaa wasomi kila kona
 
Wanaume wa humu bhana mi sijawai ona mwanamke mfeminist sijawai ona,kinachofanya muone mwanamke sijui ni feminist ni matendo yako

Huezi mtenda vibaya akae kimya, tunaishi dunia ingine kabisa
Em jitahidini kwenda na wakati.

Watendeeni vema wanawake hayo mambo ya ufeminist hamtoyasikia

Pia naona ishu ya ufeminist ni swala la kimawazo au perception ya mtu but in reality its just how the WORLD WORK
Kuna vitu ukiwa mwanamke huwezi elewa, ni sawa uwe msituni afu uuone msitu tena, ni miti tu. Mwanamke ana nafasi yake ya kutii, hizo haki unazotaka ndio zinazo wapa divorce
 
Kufungwa kwa ndoa ni siku moja , kuishi ndoa ndio zinawashinda huoni rate ya kupeana taraka inavopanda hasa mijini kuliko jaa wasomi kila kona
Si mmesema hawaolewi lakini🤷🤷
 
Usioe usomi wakee, usomi aweke nje akiingia ndani anakuwa mke, mambo ya familia amua mwanaume hakuna discussion ukiruhusu ruhusu discussion ndio utaleta majibizano na ubishi usio na maana, husika Moja kwe Moja kwenye huo usomi wake ajione pamoja na usomi wake kwako si kitu, usiulizie ulizie mshahara wake wakati huo timiza majukumu yako kama baba atakuwa na heshima kuwa kumbe usomi wake hauna msaada kwako. Lakini ukionyesha kuwa usomi wake una msaada kwako umempa fimbo ya kukuchapia
Uko sahihi ila Tabu zote za nini si uoe mwenye elimu ndogo tu kupunguza hio migogoro
 
Back
Top Bottom