Wanawake wasomi hawaolewi kwa sababu hizi...

Wanawake wasomi hawaolewi kwa sababu hizi...

Sasa hivi gender theories zimejikita kwenye ku educate men to be men maana wengine walishasahau majukumu yao ya kiume (najua wengi mtabisha ila hili nalo ni somo la siku nyingine).
Pale ambapo mwanaume atajitambua kama mwanaume hataweza kuogopa usomi au kipato cha mwwnamke.
Jioni njema.
Kama ukininukuu naomba uwe akili kubwa....
Na hao wanaume ambao hawajielewi wanalelewa na ma feminist kama ninyi
 
Nnaamini zaidi kwenye upendo
Nnaamini zaidi kwenye amani na furaha
Siwezi tafuta mke kwa kuangalia elimu,kipato chake
En na wish kua na mtu asie na kitu kabisa.... kwasababu zangu binafsi
Nashangaa sana siku hizi , Wanaume wamekuwa waoga halafu Mwanamke hataki mambo mengi sema Sisi Wanaume ndio huwa tuna jichanganya na tukijachanganya tayari unakuwa umeshapanda mbegu. Wanawake hawana matatizo kwa sababu hawa wana ubavu wetu.
 
Hivi huu ugonjwa wa kulalamika lalamika unaitwaje?

Kuuutwa kulia lia na kulalamika

FANYENI KAZI muache kulia kimama mama hata wamama wenyewe hatulii namna hii

Kuutwa kulilia ndoa na wanawake kama vimama, hamjishtukii?
👏👏👏👏
 
Huyu nae ka mwehu ss ndio nn hizo na nyie bebeni mimba😂😂😂😂

tengenezeni mbegu basi mjimwagie hahahaha.... Alianza kuumbwa Adam then Hawa akatolewa ubavuni... tukisema kuanzia sasa kila mtu atengeneze mtoto, sisi tutapiga punyeto mbegu zitaenda maabara kiumbe atatengenezwa, Kazi kwenu sasa..
 
Ukutane na binti msomi amepata malezi mazuri kutoka kwa wazazi wake, analijua neno la Mungu tokea utotoni mwake na anajua mila na desturi bora za Kiafrika unaweza ukahisi unamiliki dunia yote.Ila kuwapata kama hao ni kazi JAPO WAKO ila % ni ndogo ila wapo.
 
Wanaume wa humu bhana mi sijawai ona mwanamke mfeminist sijawai ona,kinachofanya muone mwanamke sijui ni feminist ni matendo yako

Huezi mtenda vibaya akae kimya, tunaishi dunia ingine kabisa
Em jitahidini kwenda na wakati.

Watendeeni vema wanawake hayo mambo ya ufeminist hamtoyasikia

Pia naona ishu ya ufeminist ni swala la kimawazo au perception ya mtu but in reality its just how the WORLD WORK
Mke hana kazi ila hataki kufua, mke hataki kupika, mke hataki kuangalia watoto, ila anataka mwanaume utimize traditional roles zako zote, uhudumie familia kipesa, umpe hela ya matumizi na umwekee beki 3.. wtf Palina
 
Shida wanawake wengi ni WEPESI WA KUFANYA UTEKELEZAJI KATIKA KILA JIPYA WANALOLETEWA pasipo kuchanganua yaliyomo. Tazama wanavyoyumbishwa na MANABII wa kileo, tazama wanavyoyabeba mafunzo ya usawa wa kijinsia bila kupembua. Ukweli mchungu MWANAMKE LAZIMA AWE CHINI YA MWANAUME haijalishi ni msomi au la.
 
Feminist wa skuiz was*nge sana

Ebu cheki hii post kutoka ig, ya feminists


Wanapromote kua tupake watoto wetu wakiume makeups..
emoji23.png
.. lengo lao ni kudhohofisha uanaume (masculinity)

Sent using


Dunia ijayo ni ya wanawake wasomi, kwaiyo asilimia kubwa watakua feminist?
Miaka 100 ijayo hakutakuwa na wanaume Duniani
 
Elimu Bora ndiyo ukombozi. Je hapa kwetu Kuna elimu Bora isiyowaharibu dada z
Hapa bongo tupo balanced, ila ni kwamba wanaume wamekua dhaifu kupelekeshwa na wanawake kiasi kwamba inaonekana tatizo ni elimu.
Njia nzuri ya kukwepa tatizo ni kulaumu, ndo maana imekua rahisi kuilaumu elimu kwa wanawake.

Lakini kwa mimi bora niangalie mifano ya watu wenye elimu zao (mume na mke) na wanaishi vizuri, kuliko kuangalia vitu vinavyofeli na kulaumu wanawake, sijui wewe!
 
Sababu ya 4 umeitoa kwa hasira sana, sidhani kama mwanamke msomi ndio muasherati....

Gender Equality imekua mkombozi mkubwa kwa Mwanamke na Mtoto wa Kike ukilinganisha na karne za nyuma ambazo zilikua zinamdharau Mwanamke na kumuweka daraja la chini kabisa...

Si kweli kua Mwanamke msomi haolewi ila ni vijana ambao wana inferiority Complex na Insecurity walioathiriwa na mfumo dume katika familia na jamii zao ndio hawawezi kuwaoa Wanawake wasomi.
Mfumo Dume hakuna sehemu umezungumzia maswala ya kuoa au kuishi na mwanamke msomi.

Gender equality haijamkomboa mwanamke bali imekuja kumvuruga. Huwezi ukasema Nyati akifundishwa kuishi kama Simba amekombolewa. Hapo unamjengea confusion ya natural roles zake.

Mwanaume hadi leo anasimama katika natural roles zake. Mwanamke anatolewa katika natural roles zake anaingizwa kwenye maisha artificial ambayo after 30 to 40 years yanamuacha akiwa disoriented, confused, depressed, bored, single forever, sad, lonely, miserable, out of family, Motherless, etc.

Kama unabisha muda ni mwalimu mzuri sana.
 
Back
Top Bottom