Wanawake wasomi hawaolewi kwa sababu hizi...

Kama kuna mwanamke anataka kuolewa aje DM.Awe msomi au tajiri.
 
Inferiority mbele ya usumbufu, are even serious?
 
Good point
 
Feminists gani hao unaowazunguzia , feminists unaowasema watakuwa wa Iraq au Iran. Hawa ninao wajua kwa sasa ajenda zao ni kupromote LGBTQ kupitia meet too movements, kutetea na kuunga mkono abortion, kuunga mkono gender transformation surgeries, kupambana na kuichafua Patriarchy etc. Of which that's radical.
 
You are right
 
Tatizo hamjiamini,mke lazima awe chini ya mume wake,full stop
 
Wewe ni Ke afu unatusemea sisi Me kama nani?

Yani unawajua sana Ke kuliko sisi ambao tumeshakutana nao katika mahusiano wakiwa negatively affected kwa huo ujinga wa feminism?

2017 kuna Ke mmoja nilikuwa nachukua naye cheti cha bachelor degree Chuo kikuu cha T.I.A. yule Ke alinishangaza sana.

Eti "Nani kakwambia mi nataka kuolewa? kuolewa ni kupoteza muda na ndoa ni utumwa, mi sitaki kusimamiwa wala kuongozwa na Me yeyote yule katika maisha yangu, natafuta Mume wa Mtu anizalie Watoto wawili tu kisha baada ya hapo Watoto wakishaanza kukua tusijuane maana nina uwezo wa kuwahudumia mi mwenyewe nikiwa nafanya kazi na kuwapatia mahitaji yote muhimu ya kibinadamu"

Kurubembe kama hilo utalioa vipi?

Wengine wapo kama wanne hivi ukitaka reference pia nitakuelezea hapa hapa.

Je huko walipoanzisha ujinga wa HAKI SAWA wamepatwa na nini haswa kwenye ndoa zao hadi kuenenda na NDOA ZA MIKATABA?

Watoto wameathirika kiasi gani kwa kuvunjika ndoa zao tokana na ujinga wa hao Feminists?

Huo utetezi wa HAKI SAWA Mungu hakuuona hadi aliamua kumpatia Me mamlaka ya kuwa kichwa cha familia katika ndoa?

Mashoga, Lesbians wangapi wameongezeka kwa huo ujinga wa HAKI SAWA?

Kubali, kataa kiuhalisia huo utetezi wa kipumbavu wa HAKI SAWA hautakaa upatikane kamwe kutokana na asili ya Ke kuumbwa ni kiumbe dhaifu kinachohitaji kuongozwa na Me sababu hakina maamuzi thabiti tokana na ujinga wake wa kuamini uwongo kirahisi rahisi sana kuliko Me, ndiyomaana hata shetani alimtumia huyo huyo Ke badala ya Me bustanini Eden.

Si kila kitu ni cha kuiga iga tu hapa duniani, matokeo yake ndiyo hayo panya roads kibao mitaani sababu Ke yuko bize na kazi 24 hours/7 days bila ya kupata muda wa kumpatia Mtoto malezi bora.

KATAA HAKI SAWA.

KATAA FEMINISM.

KATAA KUIGA IGA MILA NA DESTURI ZISIZO ZA TZ KUOKOA KIKAZI CHA LEO NA KESHO.
 
1. Dangote.

2. Bill Gate.

3. Jeff Bezzos.

4.................... Ongezea wengine ambapo wote hao hawana Wake katika ndoa walitemana nao.

Huwezi kuchukulia pesa ni kigezo cha Mke kudumu katika ndoa hiyo ni Big NO.

Vipi wakiyumba kiuchumi, au unadhani kila siku utakuwa njema tu kifedha?

Pesa ni jambo la kuboresha tu mahusiano lakini tabia njema ndiyo kigezo cha kwanza katika ndoa.
 
[emoji38][emoji119]
 
Huku vyuo wengi wenu mnafanya umalaya tu, mwanamke anakuwq na mabwana watatu, mnatoa mimba. Yaani mabinti walio wengi kama wamemaliza chuo, utakuta wametumika sana na papuchi zao zishachoka.
 
Hujasikia wanawake wanaoomba talaka, wengi ni wasomi? 86%
 
Hujabahatika... ogopa hivyohivyo

Chuo fulani hapa Bongo maarufu... sitataja jina... kuna Dr. wa kike alikuwa anabanduliwa na kijana mfanya usafi.

UDSM mnamo mwaka 2014, 2015 au 2016 kuna Mmama ni Dr. Aliolewa na muuza matunda. Shauri yako sasa
Wee hanithi mbona wewe unapigwa mbupu takoni na boda na wapiga debe?
 
Hii thread ina Feminist mmoja mkuu ambae ni wewe naona unapambana sana pingana na ukweli . Mimi ni msomi lakini wanawake wa kisomi walosoma sana kwenye ndoa wanachangamoto nyingi sana hasa kujifanya nao wanaume.

Mwanamke msomi huwa na hulka ya kuacha majukumu na wajibu wake kama mwanamke na kuanza kufanya majukumu ya wanaume mwisho anajikuta kaingia kutafta haki kwa ndoa wote si tumesoma

Mfano mke anatakiwa wajibika kwa mume kwa vitu kama usafi wa nyumba, kumpikia mume, kumjali, kutii, heshima, kuwa mama na mke nk. Sasa mke akiacha haya anajikuta anakua jike dume, yaani. Ukiangalia vizuri hizo sifa wanaume hatuna tunazitafta kwa mwanamke sasa mke nae anaziacha nae analeta usomi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…