Wanawake wasomi hawaolewi kwa sababu hizi...

Umemaliza mama/baba.
Ndo gender theories za sasa zinawakumbusha majukumu yao kama traditional men ili heshima iwepo.
Bill gates na hela zake yamemshinda. Pesa sio solution kwa mke alie aribiwa mindset na mfumo wa elimu wa haki sawa
 
Hizi ndoa za wasomi zinazofungwa kila siku huku mitaani ni za wanawake wa nchi gani?
Kufungwa kwa ndoa ni siku moja , kuishi ndoa ndio zinawashinda huoni rate ya kupeana taraka inavopanda hasa mijini kuliko jaa wasomi kila kona
 
Kuna vitu ukiwa mwanamke huwezi elewa, ni sawa uwe msituni afu uuone msitu tena, ni miti tu. Mwanamke ana nafasi yake ya kutii, hizo haki unazotaka ndio zinazo wapa divorce
 
Kufungwa kwa ndoa ni siku moja , kuishi ndoa ndio zinawashinda huoni rate ya kupeana taraka inavopanda hasa mijini kuliko jaa wasomi kila kona
Si mmesema hawaolewi lakini🤷🤷
 
Uko sahihi ila Tabu zote za nini si uoe mwenye elimu ndogo tu kupunguza hio migogoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…