Wanawake wasomi hawaolewi kwa sababu hizi...

Wakishasoma mpaka PhD... jua linazama, hawana watoto au wengine wanao labda kamoja, lakini mume hana...kazongwa na upweke tu na bado wapo single hata kutongozwa hawatongozwi ndo wanaanza kugongwa na vijana wadogo ili wapunguze misongo ya mawazo. Tena wao wenyewe ndo wanatongoza vijana.
 
Mfano wewe binti yako asipofika elimu ya juu utajisikiaje? Kama hutaki hutaki kumsomesha unazalisha mambumbumbu.
Feminist haitokani na usomi ..inatokana na matunda ya usomi Nina maana gani?👇

Elimu zipo nyingi na binadamu anatumia akili kung'amua Yale aliyosoma sio kila kitu ukubali ni kwamba ukiambiwa "Binadamu wa kwanza ni nyani" ,ukija kushirikisha ubongo unajua hapa nimepigwa kabisa.

Nakuja👉 Tatizo sio elimu tatizo ni Feminist ambayo mtu anashindwa hata kujua maumbile yake ya asili yalivyo kwamba na mwanaume hawapo sasa ila wanatokea washamba fulani wanamwambia Tena akiona article zimeandikwa kingereza ndo basi anaweka kichwani bila ya kushirikisha ubongo.

Feminist kwa nn ni hatar na sio usomi.

👇👇
1.Feminist wanaona mamlaka ya mwaume ni waliopewa upendeleo angalia wanawake waliopo kweny mambo ya feminist wengi Wana tamaa za pesa na madaraka ili watawale ila unakuta asili yao haitaki ndo maana mpaka leo hapo Marekani hapajwahi kutokea raisi wa kike japo wanagombania sana.

2.Feminist wengi wameacha a na tamaduni za asili na kukimbilia uzungu,baada tu ya kujua kingereza wanajikuta wazungu tayar kamili ilihali ni weusi kama vumbi la mkaa ila hawajitambui..Dharau kibao.

3.Feminist hata swala la asili la kuzaa hawataki na tunapoenda kunyonyesha wataanza kuwaiga wazungu (wanatumia maziwa ya kopo ila matiti yao yasishuke) haya yote kutokana na tamaduni za nje..Hawataki kupitwa na jambo wawe sambamba na wanaume eti wakizaa wanazeeka mapema.

Feminist ni cultural imperialism na sio kusoma ,hautokuja sikia mambo hayo kule kwa Kim kiduku (Korea) wala Taliban maana wako strictly kupambania jamii zao zisingie huko mtego
 
Frankly!!!

Akitokea kijana leo akaniomba ushauri kwamba ana wanawake wawili,mmoja msomi na ana kazi nzuri take home yake Tsh 1.5mill na mwengine la saba anayeweza ku-control kijiduka kidogo dogo tu cha familia huko mtaani nitamwambia aende na wa la saba.

Hata kama huyu wa la saba akawa tegemezi still nitasimama nae.
 
Pointless
Wesomi wanaolewa sana tu.
Labda huko kwenu ndo huwa hawaolewi.
Tena wanaume wa wanavyopenda kitonga... yani wanawake wenye kazi na wasomi ndo waolewaji kila siku na ukibook kumbi za harusi zimejaa
Nakadori Nakadori Nakadori ..!!! We haya tu..!!! Wapenda kitonga ndani wanavumilia mengi. Hakuna mtu mwenye sauti kwa mwenye pesa. Sequence ipo hivi,
1. Mwenye pesa
2. Mwenye Madaraka
3. Mwenye shule kubwa

Sasa ukute limshangazi lina vyote, wallah utakoma
 
Definition ya msomi ni relative......
Ya kwako pia ni sahihi na ya kwangu pia ni sahihi.
Degree moja sio msomi... wanazungumziwa wale maguberi.

Nenda B.O.T pale... utakuta wamama tele wa age 30's-50's single na wana PhD wana masharti kinoma! Hao ndo wasomi. Hawa watoa tigo wenye bachelor michosho hawapo kwenye wasomi.
 
Nakadori Nakadori Nakadori ..!!! We haya tu..!!! Wapenda kitonga ndani wanavumilia mengi. Hakuna mtu mwenye sauti kwa mwenye pesa. Sequence ipo hivi,
1. Mwenye pesa
2. Mwenye Madaraka
3. Mwenye shule kubwa

Sasa ukute limshangazi lina vyote, wallah utakoma
Tusiposomeshwa tabuu na tukisomeshwa tabuu. Tukiwa na ki Mia 2 tabu tusipokuwa nacho pia tabu.

Asee ninamshukuru sana mzazi wangu aliyejinyima ili nipate elimu hadi pale mimi mwenyewe niliposema basi mama inatosha.

Ninaahidi kumsomesha binti yangu pindi nikimpata (ambaye ninamuomba Mungu kila siku anipatie mtoto wa kike) hadi pale ambapo yeye mwenyewe atasema basiii inatosha. Elimu ni nguzo muhimu sana kwa mtoto wa kike. Ni wanaume dhaifu tu wanaoona ni kikwazo kwa sababu ya inferiority zao...
 
Degree moja sio msomi... wanazungumziwa wale maguberi.

Nenda B.O.T pale... utakuta wamama tele wa age 30's-50's single na wana PhD wana masharti kinoma! Hao ndo wasomi. Hawa watoa tigo wenye bachelor michosho hawapo kwenye wasomi.
Wewe hiyo ni definition yako.... usilazimishe na mimi niwe na definition kama yako. Kwangu mimi nina definition yangu ya usomi.
 
Nakadori Nakadori Nakadori ..!!! We haya tu..!!! Wapenda kitonga ndani wanavumilia mengi. Hakuna mtu mwenye sauti kwa mwenye pesa. Sequence ipo hivi,
1. Mwenye pesa
2. Mwenye Madaraka
3. Mwenye shule kubwa

Sasa ukute limshangazi lina vyote, wallah utakoma
Muda wa kumnyandua na wewe ndo unamalizia hasira zako. TOMBA kisawasawa! 👍🏾
 
Wakishasoma mpaka PhD... jua linazama, hawana watoto au wengine wanao labda kamoja, lakini mume hana...kazongwa na upweke tu na bado wapo single hata kutongozwa hawatongozwi ndo wanaanza kugongwa na vijana wadogo ili wapunguze misongo ya mawazo. Tena wao wenyewe ndo wanatongoza vijana.
💯🧢
 
Mfano wewe binti yako asipofika elimu ya juu utajisikiaje? Kama hutaki hutaki kumsomesha unazalisha mambumbumbu.
Feminist haitokani na usomi ..inatokana na matunda ya usomi Nina maana gani?👇

Elimu zipo nyingi na binadamu anatumia akili kung'amua Yale aliyosoma sio kila kitu ukubali ni kwamba ukiambiwa "Binadamu wa kwanza ni nyani" ,ukija kushirikisha ubongo unajua hapa nimepigwa kabisa.

Nakuja👉 Tatizo sio elimu tatizo ni Feminist ambayo mtu anashindwa hata kujua maumbile yake ya asili yalivyo kwamba na mwanaume hawapo sasa ila wanatokea washamba fulani wanamwambia Tena akiona article zimeandikwa kingereza ndo basi anaweka kichwani bila ya kushirikisha ubongo.

Feminist kwa nn ni hatar na sio usomi.

👇👇
1.Feminist wanaona mamlaka ya mwaume ni waliopewa upendeleo angalia wanawake waliopo kweny mambo ya feminist wengi Wana tamaa za pesa na madaraka ili watawale ila unakuta asili yao haitaki ndo maana mpaka leo hapo Marekani hapajwahi kutokea raisi wa kike japo wanagombania sana.

2.Feminist wengi wameacha a na tamaduni za asili na kukimbilia uzungu,baada tu ya kujua kingereza wanajikuta wazungu tayar kamili ilihali ni weusi kama vumbi la mkaa ila hawajitambui..Dharau kibao.

3.Feminist hata swala la asili la kuzaa hawataki na tunapoenda kunyonyesha wataanza kuwaiga wazungu (wanatumia maziwa ya kopo ila matiti yao yasishuke) haya yote kutokana na tamaduni za nje..Hawataki kupitwa na jambo wawe sambamba na wanaume eti wakizaa wanazeeka mapema.

Feminist ni cultural imperialism na sio kusoma ,hautokuja sikia mambo hayo kule kwa Kim kiduku (Korea) wala Taliban maana wako strictly kupambania jamii zao zisingie huko mtego
Facts
 
Back
Top Bottom