The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Amesema watasoma ila atawapa pia elimu kwamba hawawezi kufanana na mwanaume.Lakini bado watabaki kuwa wasomi.
Na ndicho kinacho-miss kwa sasa,wazazi waliopata watoto kuanzia 90s kuja 2000s hawakuwa na hii idea waliwaacha bila kujua bint zao waka-copy yale ya Beijing that's why tunaiona hii hali leo so kwa anayezaa leo mpaka 204o akawa anawafundisha alichosema kutakuwa na kizazi bora cha kutengeneza familia.