Utaula wa chuya
JF-Expert Member
- Sep 19, 2022
- 495
- 1,344
Mwanaume atabaki kuwa mwanaume na mwanamke atabaki kuwa mwanamke, haya mambo ya usawa yameibuka ili kuilinda jamii nzima hasa wanawake kwani huko nyuma lilionekana ni kundi dhaifu ambalo halikua linapewa kipaumbele kwenye shughuli za uzalishaji.Sasa hivi gender theories zimejikita kwenye ku educate men to be men maana wengine walishasahau majukumu yao ya kiume (najua wengi mtabisha ila hili nalo ni somo la siku nyingine).
Pale ambapo mwanaume atajitambua kama mwanaume hataweza kuogopa usomi au kipato cha mwwnamke.
Jioni njema.
Kama ukininukuu naomba uwe akili kubwa....
Tatizo nafikiri lipo kwa wapokeaji wa haya mambo ya usawa wa kijinsia kulingana na tabia binafsi ya mhusika, ila bado wapo wanawake wenye elimu na wanaishi vizuri sana na waume zao vile vile wapo hawa wasio shikika tunao wajadili hapa ambao nadhani tabia zao binafsi ndio changamoto kuliko usomi wao.