Wanawake wasomi hawaolewi kwa sababu hizi...

Wanawake wasomi hawaolewi kwa sababu hizi...

Huo kuwa harakati za kuharibu mfumo asilia zilianza hivi, kupitia jinsia, wamefanikiwa na hasa huku kwenye umasikini wa kutisha, tulikokuwa tumebakiwa na maadili ya kifamilia jadi.

Agenda inayofuata ambayo na yenyewe imeanza kufanikiwa ni kuwa; Mwanamke ni sawa na Mwanaume kimaumbile, anaweza kuoa; hii haina madhara makubwa sana kama Agenda ya kutaka kumbadili Mwanaume kuwa Mwanamke, wenye mnaita LBGT sijui!

Usomi ni kutambua dhima nzima ya uwepo wa jinsi yako hapa duniani, mengine ni ule uwezo wako wa kufikiri baada ya kuondoa yaliyojazwa kichwani kwako kupitia madarasa.
Wakina nani hao???
Waliowaletea Dini??
 
Frankly!!!

Akitokea kijana leo akaniomba ushauri kwamba ana wanawake wawili,mmoja msomi na ana kazi nzuri take home yake Tsh 1.5mill na mwengine la saba anayeweza ku-control kijiduka kidogo kidogo tu cha familia huko mtaani nitamwambia aende na wa la saba.

Hata kama huyu wa la saba akawa tegemezi still nitasimama nae.
🤣🤣🤣🤣
Kigezo kikubwa cha kuoa mwanamke kiwe tako na sura na sio elimu
 
We ndio mtu wa ajabu na hela zako wapo wapi wake wa kina Jeff na Elon je dangote
I’m not sure kama hawa watu waliweka sababu za kuachana na wanaume/wake zao…but most of them huwa ni cheating na unyanyasaji….na kwa wenzetu cheating na unyanyasaji sio mambo ya kusamehe kirahisi they know what they deserve when it’s comes for someone’s rights…
 
Frankly!!!

Akitokea kijana leo akaniomba ushauri kwamba ana wanawake wawili,mmoja msomi na ana kazi nzuri take home yake Tsh 1.5mill na mwengine la saba anayeweza ku-control kijiduka kidogo kidogo tu cha familia huko mtaani nitamwambia aende na wa la saba.

Hata kama huyu wa la saba akawa tegemezi still nitasimama nae.
Muhimu ajuye kutunza familia, jambi ambalo kwasasa linaoneka kuwa replaced na usomi, kwa wanawake.

Ze moo wanakuwa wasomi, ze moo wanapata maarifa ya ku-outsource majukumu yao ya kimsingi.
 
Wakina nani hao???
Waliowaletea Dini??
Achana na dini kwa sasa, kwani wanyama wana dini? Kwa sisi tuliochunga, sidhani kama kuna aliyewahi kushuhudia hata kwa bahati mbaya kuwa Dume likakakuliwa maziwa au porini ukasikia Simba jike kulinda himaya yake, zaidi utasikia analinda watoto wake.

Wenye hiyo agenda, nadhani itakuwa ni wasomi!
 
Sasa hivi gender theories zimejikita kwenye ku educate men to be men maana wengine walishasahau majukumu yao ya kiume (najua wengi mtabisha ila hili nalo ni somo la siku nyingine).
Pale ambapo mwanaume atajitambua kama mwanaume hataweza kuogopa usomi au kipato cha mwwnamke.
Jioni njema.
Kama ukininukuu naomba uwe akili kubwa....
Akili yenyewe huna.
Mara unasema wanawake wasomi wanaolewa sana sababu wanume wanapenda mtelezo, mara wanatakiwa waoane na wasomi wenzao.
Mara wanaume wamesahau majukumu yao.
Wanaume wanajua majukumu yao ndio maana hawataki kukaa na midume jike inayodhani kuwa na elimu inayafanya yawe manaume ambayo hayajui hata kupika
 
Hivi kweli uolewe na bakhresa au manji au dangote kila kitu kipo mezani kweli kelele za usawa ziwepoo???

Ni wanaume waganga njaa tu ndo wanaona kuonewa na wasomi.
Anyways tafuteni hela.

Wewe empty set unayejitahidi kuniquote asee sitakujibu kamwe ....I mean NEVER. Nshakujua ww ni low brain.
 
Hongera mage tuliopo maliza darasa la Saba tu wazazi wako waamua uolewa tukaucheka ulipo zaa mpema kisa siye tupo shule, ukakomaa na mumeo kwenye kilimo na ufugaji Leo hii sisi wasomi ambao ndoa zinatutesa wewe haikutesi, sisi wasomi uhuni wakutoa toa mimba uzazi unatutesa wewe haikutesi,..sisi wasomi life style inatutesa wewe haikutesi hongera sana CR7
 
Back
Top Bottom