Wanawake wasomi hawaolewi kwa sababu hizi...

Wanawake wasomi hawaolewi kwa sababu hizi...

Sasa wewe ndio mwanaume. Mwanaume anliyekamilika hawezi ogopa mwanamke yeyote awe amemzidi elimu au kipato.
Anajua afanye nini kulinda uanaume wake mbele ya mwanamke wake.

Huna stereotypes kama wale wengine...

Nnaamini zaidi kwenye upendo
Nnaamini zaidi kwenye amani na furaha
Siwezi tafuta mke kwa kuangalia elimu,kipato chake
En na wish kua na mtu asie na kitu kabisa.... kwasababu zangu binafsi
 
Nnaamini zaidi kwenye upendo
Nnaamini zaidi kwenye amani na furaha
Siwezi tafuta mke kwa kuangalia elimu,kipato chake
En na wish kua na mtu asie na kitu kabisa.... kwasababu zangu binafsi
Nasema hivi wewe ndo mwanaume
Wafundishe na wenzako kuwa wanaume
 
Huna akili wewe hako ka degree ka procurement unaolewa hata na mpiga debe.
Hapa naongelea mwanamke mwenye elimu yake ambaye ni HR ggm au Pale BOT.
Wewe wa procurement humsumbui hata mpiga debe
Kunywa soda baridi hapo dukani utume na namba P.M nikutumie malipo ulipe mkuu!...

Ebana nilimwambia huyo mwanadada akabisha. Akitaka kuona wasomi aende B.O.T, taasisi za elimu kubwa nchini, wizara kubwa na nyeti, Ikulu na sekta nyingine nyeti.

Mabinti tele wana degree siku hizi na ni ma-bogus tu. Hao hawahesabiki kama ni wasomi. Hata ukioa huyo hamna shida. Hapa wanaongelewa Maguberi!
 
Pointless
Wesomi wanaolewa sana tu.
Labda huko kwenu ndo huwa hawaolewi.
Tena wanaume wa wanavyopenda kitonga... yani wanawake wenye kazi na wasomi ndo waolewaji kila siku na ukibook kumbi za harusi zimejaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ongeza sautiiiiii.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ongeza sautiiiiii.
Wanaume waliokamilika wanaoa kila siku maana pia wana kipato cha kusimamia familia zao. Sasa hawa jobless hata mahari tu watatoa wapi wakati ajira hawajapata na hawawezi kujiongeza?? Pia kusimamia mke na watoto wataweza wapiii? Wanaogopa kutajiwa mahari kubwa na uwezo wa kulea family hawana halafu kujifariji nafsi zao wanasema wasomi hawaolewi.
 
Nnaamini zaidi kwenye upendo
Nnaamini zaidi kwenye amani na furaha
Siwezi tafuta mke kwa kuangalia elimu,kipato chake
En na wish kua na mtu asie na kitu kabisa.... kwasababu zangu binafsi
Sasa kuna vitu haviendani na furaha ujuwe yako, bali ya unayemuowa..!! If you know what Am I saying..!!
 
Wanaume waliokamilika wanaoa kila siku maana pia wana kipato cha kusimamia familia zao. Sasa hawa jobless mahari watatoa wapi wakati ajira hawajapata na hawawezi kujiongeza?? Wanaogopa kutajiwa mahari kubwa halafu kujifariji nafsi zao wanasema hawaolewi.
Mambo ya mahari tena...

Ni sahihi kutoza mahari? Na kwann mahari hutozwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijakuelewa mkuu
Unaweza nifafanulia kidogo?
Kuna typo kidogo kwenye hiyo post ambayo hujaielewa. Nilimaanisha hivi, wanawake wengi ambao ni wasomi, wenye fedha na/au madaraka, huwa wanaamini kwenye nguvu ya pesa, shule na manadara waliyonayo..!! Mtu wa hivyo, upendo kwa mwingine ni almost nothing kwake..!! The fact kwamba unavinyenyekea alivyonayvo kwake imekaa sawa tu..!!
 
Back
Top Bottom