Wanawake wasomi hawaolewi kwa sababu hizi...

Wanawake wasomi hawaolewi kwa sababu hizi...

Tatizo namba moja ni
Pale mwanaume anapoowa mwanamke anaejiweza kiuchumi ukitegemea uponee kutoka kwake
Mbaya zaidi na huyo mwanamke akajua ya kua umeamua kua nae kwasababu ana hela!
Basi usitegemee heshima hapo
Unless. Ukiwa nae basi hakikisha unajipambanua kuhakikisha unalengo la kujenga maisha na sio kumnyonya yeye

2 ni pale ambapo mwanamke a nadhani kwakua ana pesa kumzidi mwanaume basi atafanya atakavyo
Haya yote ni makosa

Jambo namba moja liwe ni upendo
Pili mengine yafunguke kutokea hapo
Ikiwa pana upendo hata mkiwa hakuna kitu bado mtaishi na maisha yatakwenda vyema
Kwakua linalowaunganisha ni upendo na sio kitu kingine chochote kile!
 
Kama mimi na wewe haijatokea kwetu ndio inamaanisha haitokei kwa wengine?
Unataka kusema tangu umekua hadi kufika umri huo hujawahi hata kusoma juu ya ukandamizaji wa Mwanamke? Hata ile filamu ya Neria pia hukuona??
Basi utakua unaishi under the rock
mkuu hizo story nimewahi zisikia.

kwamba wanawake pia wana haki ya kuwa raisi wa nchi.
pia wana haki ya kubeba zege kufanya kazi nzito.

mkuu nina dada , mama , shangazi na wanawake wengi tiu nimedeal nao! cjawahisikia waki complain kugandamizwa wala kunyanyaswa sababu wao ni wanawake.

Ninacho jarbu kusema FEMENIST hakuna wanachomtete mwanamke zaidi ya kusababishia majanga na kutaka ajione yuko sawa na mwanaume.
 
Kama anaongelea kuwa na hivyo vi-degree uchwara ndio wanawake waliosoma hao wanaolewa na MTU yeyote hawana security.
Kutana na femist lipo kwenye vitengo pale wizara ya fedha useme wewe ndio kichwa cha familia hata kupika halijui
HAHAHA! WELL SAID MKUU!
 
Hii hali kwasasa imekuwa ni tishio mnooo, natamani turudie uzamani. Kuna baadhi ya mambo ilikuwa ni ngumu kukuta mwanamke anashiriki.
Dawa ni kuowa wanawake wenye elimu ile ya kujua mambo machache tu,wewe mume take responsibility ya mambo yote ktk familia kisha uwezo ukiwepo mpe sasa mkeo jukumu la kufanya.

Hawa wa sasa wengi ni wa 1988 to 2000s ambao wakati tamko la Beijing linatoka walikulia humo na wamekuwa wakiaminishwa ndiyo salama kwao so wote ni wanaharakati cha kufanya sisi tunaozaa watoto leo tuandae future yao ya baadae ikiwa ni pamoja na kuwasomesha pia kuwaelewesha watoto zetu wa kike kwamba mwanamke ni mwanamke mwanaume ni mwanaume hakuna siku watafanana na wanaume.
 
Wanawake wasomi wasioolewa Ni pamoja na wakijaluo, wakipare na wanyakyusa. Wengine Wana PhD na ugali wanasonga Kama kawa.
 
Kwanini sasa hauishi porini na wanyama wenzio na kula majani na nyama mbichi?
Wanyama wote wanaishi porini? Wanakula majani na nyamba mbichi?

Wachaga, Wamasai, Wakurya wanakula hizo nyama mbichi!
 
Wanyama wote wanaishi porini? Wanakula majani na nyamba mbichi?

Wachaga, Wamasai, Wakurya wanakula hizo nyama mbichi!
Tokaaaa... wachaga hatuli nyama mbichi, nyie ndio hamjui namna ya kuchoma nyama



Screenshot_20230217-172722_Chrome.jpg


Nyama inabid isizid hapo kwenye "medium well"... sasa nyie mnachoma mpaka inakua "congratulation" [emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huu ugonjwa wa kulalamika lalamika unaitwaje?

Kuuutwa kulia lia na kulalamika

FANYENI KAZI muache kulia kimama mama hata wamama wenyewe hatulii namna hii

Kuutwa kulilia ndoa na wanawake kama vimama, hamjishtukii?
 
ataishia kuwa kama sisi tusioolewa kisa tumesoma
Feminism imeharibu kila kitu sasa hivi mwanamke anajiona eti hana tofauti na mwanaume Ila mwanamke hawezi kamwe kufanana na mwanaume kamwe hawezi kuna mambo mwanamke hawezi kufanya

Mfano kukwea mnazi mrefu kule Zanzibar sijawahi ona mwanamke anakwea mnazi kwenda kutungua nazi, mmoja ni mbingu mwingine ni ardhi
 
Tokaaaa... wachaga hatuli nyama mbichi, nyie ndio hamjui namna ya kuchoma nyama



View attachment 2520546

Nyama inabid isizid hapo kwenye "medium well"... sasa nyie mnachoma mpaka inakua "congratulation" [emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaona sasa! Nilidhani utaleta iliyochomwa kule mgombani uoneshe huo ujuzi...ume-google huko kisha unataka kujiita mchaga!

Si ajabu hata uchagani kwenyewe unakusikia tu!
 
Tatizo kubwa ni kutojitambua.
Hakuna kitu kizuri kama una mke anayejitambua, anayetambua mipaka yake, anayetambua ndoa ni nini, anayetambua familia ni nini.

Huyu hata ukifungwa au kufa una uhakika watoto hawattateseka.

Sio unakufa watu wanaanza lilia watu kuwa mimi ni mjane nisaidieni.
 
Back
Top Bottom