kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
Kuna typo kidogo kwenye hiyo post ambayo hujaielewa. Nilimaanisha hivi, wanawake wengi ambao ni wasomi, wenye fedha na/au madaraka, huwa wanaamini kwenye nguvu ya pesa, shule na manadara waliyonayo..!! Mtu wa hivyo, upendo kwa mwingine ni almost nothing kwake..!! The fact kwamba unavinyenyekea alivyonayvo kwake imekaa sawa tu..!!
Sasa hilo ni tatizo lake yeye!
Hata awe na nini na nini aelewe tu kua atatakiwa kutimiza wajibu wake kama mke
Na mimi nitimize wajibu wangu kama mme wake basi
Na ndio maana nkasema “mimi” binafi katika kitu siangalii ni uwezo wa bint au elimu
Kwasababu upendo,amani na furaha havitegemei elimu yake!