kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
Tatizo namba moja ni
Pale mwanaume anapoowa mwanamke anaejiweza kiuchumi ukitegemea uponee kutoka kwake
Mbaya zaidi na huyo mwanamke akajua ya kua umeamua kua nae kwasababu ana hela!
Basi usitegemee heshima hapo
Unless. Ukiwa nae basi hakikisha unajipambanua kuhakikisha unalengo la kujenga maisha na sio kumnyonya yeye
2 ni pale ambapo mwanamke a nadhani kwakua ana pesa kumzidi mwanaume basi atafanya atakavyo
Haya yote ni makosa
Jambo namba moja liwe ni upendo
Pili mengine yafunguke kutokea hapo
Ikiwa pana upendo hata mkiwa hakuna kitu bado mtaishi na maisha yatakwenda vyema
Kwakua linalowaunganisha ni upendo na sio kitu kingine chochote kile!