Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Sasa hiyo ngoja waje, ni akina nani wakati na wewe ulikwenda Beijing? Si umekuja wewe?Mapema kabisa na bus la kwanza nilifika
Hao wasomi wako hewa wenye degree moja za ngama ndo unawazungumzia wewe ndo wasomi?! πPointless
Wesomi wanaolewa sana tu.
Labda huko kwenu ndo huwa hawaolewi.
Tena wanaume wa wanavyopenda kitonga... yani wanawake wenye kazi na wasomi ndo waolewaji kila siku na ukibook kumbi za harusi zimejaa
Narudi kumpopoaSasa hiyo ngoja waje, ni akina nani wakati na wewe ulikwenda Beijing? Si umekuja wewe?
Definition ya msomi ni relative......Hao wasomi wako hewa wenye degree moja za ngama ndo unawazungumzia wewe ndo wasomi?! π
Nakadori Nakadori Nakadori ..!!! We haya tu..!!! Wapenda kitonga ndani wanavumilia mengi. Hakuna mtu mwenye sauti kwa mwenye pesa. Sequence ipo hivi,Pointless
Wesomi wanaolewa sana tu.
Labda huko kwenu ndo huwa hawaolewi.
Tena wanaume wa wanavyopenda kitonga... yani wanawake wenye kazi na wasomi ndo waolewaji kila siku na ukibook kumbi za harusi zimejaa
Degree moja sio msomi... wanazungumziwa wale maguberi.Definition ya msomi ni relative......
Ya kwako pia ni sahihi na ya kwangu pia ni sahihi.
Tusiposomeshwa tabuu na tukisomeshwa tabuu. Tukiwa na ki Mia 2 tabu tusipokuwa nacho pia tabu.
Wewe hiyo ni definition yako.... usilazimishe na mimi niwe na definition kama yako. Kwangu mimi nina definition yangu ya usomi.Degree moja sio msomi... wanazungumziwa wale maguberi.
Nenda B.O.T pale... utakuta wamama tele wa age 30's-50's single na wana PhD wana masharti kinoma! Hao ndo wasomi. Hawa watoa tigo wenye bachelor michosho hawapo kwenye wasomi.
Muda wa kumnyandua na wewe ndo unamalizia hasira zako. TOMBA kisawasawa! ππΎ
π―π§’Wakishasoma mpaka PhD... jua linazama, hawana watoto au wengine wanao labda kamoja, lakini mume hana...kazongwa na upweke tu na bado wapo single hata kutongozwa hawatongozwi ndo wanaanza kugongwa na vijana wadogo ili wapunguze misongo ya mawazo. Tena wao wenyewe ndo wanatongoza vijana.
FactsMfano wewe binti yako asipofika elimu ya juu utajisikiaje? Kama hutaki hutaki kumsomesha unazalisha mambumbumbu.
Feminist haitokani na usomi ..inatokana na matunda ya usomi Nina maana gani?π
Elimu zipo nyingi na binadamu anatumia akili kung'amua Yale aliyosoma sio kila kitu ukubali ni kwamba ukiambiwa "Binadamu wa kwanza ni nyani" ,ukija kushirikisha ubongo unajua hapa nimepigwa kabisa.
Nakujaπ Tatizo sio elimu tatizo ni Feminist ambayo mtu anashindwa hata kujua maumbile yake ya asili yalivyo kwamba na mwanaume hawapo sasa ila wanatokea washamba fulani wanamwambia Tena akiona article zimeandikwa kingereza ndo basi anaweka kichwani bila ya kushirikisha ubongo.
Feminist kwa nn ni hatar na sio usomi.
ππ
1.Feminist wanaona mamlaka ya mwaume ni waliopewa upendeleo angalia wanawake waliopo kweny mambo ya feminist wengi Wana tamaa za pesa na madaraka ili watawale ila unakuta asili yao haitaki ndo maana mpaka leo hapo Marekani hapajwahi kutokea raisi wa kike japo wanagombania sana.
2.Feminist wengi wameacha a na tamaduni za asili na kukimbilia uzungu,baada tu ya kujua kingereza wanajikuta wazungu tayar kamili ilihali ni weusi kama vumbi la mkaa ila hawajitambui..Dharau kibao.
3.Feminist hata swala la asili la kuzaa hawataki na tunapoenda kunyonyesha wataanza kuwaiga wazungu (wanatumia maziwa ya kopo ila matiti yao yasishuke) haya yote kutokana na tamaduni za nje..Hawataki kupitwa na jambo wawe sambamba na wanaume eti wakizaa wanazeeka mapema.
Feminist ni cultural imperialism na sio kusoma ,hautokuja sikia mambo hayo kule kwa Kim kiduku (Korea) wala Taliban maana wako strictly kupambania jamii zao zisingie huko mtego