Wanawake watema Cheche: Wanaume wenye Vitambi 'Wananuka' kiukweli Wanawake wengi hatupendi Kuolewa nao

Wanawake watema Cheche: Wanaume wenye Vitambi 'Wananuka' kiukweli Wanawake wengi hatupendi Kuolewa nao

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
Msinigombanie kama Mpira wa Kona sijasema Mimi na ukitaka kujua waliosema nenda Mtandao wa Bongo Mjini usikie.

Hivi mnadhani akina GENTAMYCINE ambao Kutwa tunachukia kutoka Vitambi kama vyenu hatujui kile tunachokiepuka?
 
Kitambi ni ugonjwa mbaya sna binadamu mwenye kitambi namwona kama kiumbe wa sayari nyingine kabisaa
 
Back
Top Bottom