Wanawake watulivu waungwana, wasio cheat wacha Mungu, mko wapi?

Wanawake watulivu waungwana, wasio cheat wacha Mungu, mko wapi?

Mungu alimuumba Adam kwa mfano wake.
Hivyo mwanaume ni muumbaji.
Kwa nini usiumbe wa kwako!!??

Mimi naamini mwanaume ukiamua kum "mold" mwanamke vile utakavyo, inawezekana kabisa kwa asilimia mia moja.

Tatizo la msingi ni kwetu wanaume kutokujua tunataka aina gani ya mwanamke ambaye atakuwa mke mwema.

Mwanamke yeyote anaweza kuwa vile unavyotaka wewe mwanaume as long as unaajua nini utakacho.

Cha mwisho ni kwamba ucha Mungu unaanza na wewe,then unaweza mtengeneza changudoa akabadilika na kuwa mcha Mungu mzuri sana.
Wako wapi wanawake wife material?
 
wewe ni mmoja wa wanawake waaminifu?
Mmmh jina lenyewe qashy=cash


Pita mbali mita miaaa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿšถ๐Ÿผโ€โžก๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿผโ€โžก๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿผโ€โžก๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿผโ€โžก๏ธ๐Ÿ˜Š๐Ÿƒ๐Ÿผโ€โžก๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿผโ€โžก๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿผโ€โžก๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿผโ€โžก๏ธ
 
Nimecheka ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… โ€œwife materialโ€ hana umri ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Mmmmh ๐Ÿƒ๐Ÿปโ€โžก๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿปโ€โžก๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿปโ€โžก๏ธ
 
Back
Top Bottom