Wanawake wengi bila urembo hawavutii! Sio wazuri

Wanawake wengi bila urembo hawavutii! Sio wazuri

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
Kwema Wakuu!

Ninawaelewa wanawake katika Kupenda pesa Kwa sababu bila matunzo Kwa kweli hawafurahishi, hawavutii,
Kwa uzoefu wangu mdogo na wanawake nuliowahi kuwaona katika majiji makubwa nachelea kusema Wanawake wengi yaani 95% bila ya urembo hawavutii na wala hawaonekani kuwa wazuri.

Kumkuta mwanamke mzuri bila urembo ni nadra Sana, usishangae kwenye mtaa unapoishi wazuri OG bila ya editing yoyote ukashangaa hakuna hata mmoja.

Wanawake wanaposisitiza wanaume Watafute pesa wanazungumzia kipengele hicho cha matunzo, ili wazidi kuonekana kuwa wazuri. wanawake karibia wote Duniani hawaoni uzuri wao na wengi hushangaa wanaposifiwa kuwa ni wazuri.

Mastaa wengi wa filamu au muziki huvutia wakiwa kwenye Luninga lakini ukikutana nao Live usije ukashangazwa na utakachokiona, wengi wao huvutia Kwa Editing za urembo na Teknolojia ya graphic and Design.

Ni vizuri kuwaelewa Dada na wanawake wetu kuwapa pesa za matunzo ili waweze walau kujiamini na kuyafurahia maisha.

Wapake Mafuta mazuri wawe laini,
Wajipulizie unyunyu wanukie
Wasuke na kuvaa maweaving au mawigi angalau nao waonekane.
Wavae hereni na wapake makeup wavutie na kututega.
Wavae mavazi na nguo za kuvutia ili waonekane.

Wanawake wengi bila urembo Kwa kweli wanatia huruma.
Tuwape pesa, tuwatunze, tuwapende.

Hakuna mwanamke asiyevutia Kama atahudumiwa kikamilifu.

Zingatia, wakuhudumiwa ni Mke WA ndoa tuu, MICHEPUKO isihudumiwe, Kama inataka Huduma iruhusu mke WA pili au watatu.
 
Hata hao Wazuri nao Wanajirembesha Ili wazidi kuvutia kuliko wengine.. Hiyo ndio Asili yao ili Sisi Wanaume Tuvutiwe nao. Zamani yao Hakukuwa na Make Up na Vipodozi vya Leo hii. Ila Vingekuwepo lazima Wangevitumia.
 
Humjui Carleen wangu wewe, mtoto natural beauty anang'aa kama mbalamwezi muda wote, ngozi nyororo kama mtoto mchanga.
 
Nampenda mwanamke anaekubali umbo alilopewa na Mungu. (Natural beauty). Nywele na ngozi paka tu mafuta na utapendeza. Kuna waziri huwa hupaka tu mafuta nywele na kuzichana vizuri na anaonekana vizuri mbele za watu.


Sent using Jamii Forums mobile app
Team short hair, wazee wa kitana tu.. tuna compliment hapa

Carleen
 
Back
Top Bottom