Wanawake wengi bila urembo hawavutii! Sio wazuri

Wanawake wengi bila urembo hawavutii! Sio wazuri

Mh kwa upande wangu naanza kuangalia sura aisee tako ni jambo la pili. Mm mwanaume nna sura mbaya halafu mwanamke wangu nae awe mbaya 😁😁 hapana aisee sura mzuri n muhimu sana kwangu.
Mambo ya reception au sio ..ila mie nawalaune wadhungu bwana...haya mambo ya sura ni kutokana na wao kutuletea mambo ya kula denda
 
Tako mama, tako ndio mambo yote asikwambie mtu....sura ikiwa personal sii nakuweka style ya doggy huku mie nahangaika na tako tuu sura yako itabakia kuwa personal tuu
Sawa sawa
 
Mh kwa upande wangu naanza kuangalia sura aisee tako ni jambo la pili. Mm mwanaume nna sura mbaya halafu mwanamke wangu nae awe mbaya [emoji16][emoji16] hapana aisee sura mzuri n muhimu sana kwangu.
Eti eeh [emoji23] aisee kweli nimeamini wanaume mnatofautiana.
 
Si mnasemaga bora taqo sura hata mbuzi anayo, leo mmehamia kwa sura [emoji23]
Wanaume sisi hatueleweki...[emoji16][emoji16][emoji16]

tapatalk_1482419309617.jpg
 
Jamaniii mi la kwangu...
Ni wale wanawake wanao bandika kucha na kope asee...

Huwa nikikutana nao na hisi nimekutana na Jini asee.
 
No we're still beautiful sema tu mmeshazoea kuona wakijiremba, so ukiona asiyejiremba unamuona "anatia huruma".

Kuna mkaka majuzi aliniuliza we mbona hutengenezi kucha kama "wenzio"? I was like ndo kina nani hao wenzangu!! So mtu ashazoea kuona kucha ndefu zenye urembo urembo, akiona fupi zenye henna zinamtia huruma!!

images - 2022-05-24T084646.173.jpeg


images - 2022-05-24T084320.767.jpeg
 
Back
Top Bottom