Wanawake wengi bila urembo hawavutii! Sio wazuri

Wanawake wengi bila urembo hawavutii! Sio wazuri

Ila jamani, mwanamke ni lazima uwe mzuri.
Eti ni lazima! [emoji23][emoji23][emoji23]
Juzi kati nilikutana na dada hilo, lina zigo sio poa, halafu lainiiiiii! Akitembea yanatikisana ndani ya mdela! Kwa kuwa lilikuwa ni eneo la chocho, hakuna watu, ikabidi nimsimamishe, alipogeuka, nikakitana na sura ya dume shupavu! Dume kweli! Uso mweusiiiii! Mgumu balaa! Na misuli miwili ina display kwenye paji la uso! We We We!
Nilikimbia kurudi nilikotoka, chap! Yaani ungelikutana na mimi kwenye hilo chocho, ungejua labda kuna panya road nyuma yangu!
 
Kaziii kweli kweli.

Mungu Ana hikma. Ndio maana akatuumba katika mionekano tofauti maana kila mmoja anavutiwa na chake
Sahihi kabisa Angel...kifua kilichotuna...aaah kweli M/Mungu anajua manake kila mtu kapewa anavyopenda!
 
Eti ni lazima! [emoji23][emoji23][emoji23]
Juzi kati nilikutana na dada hilo, lina zigo sio poa, halafu lainiiiiii! Akitembea yanatikisana ndani ya mdela! Kwa kuwa lilikuwa ni eneo la chocho, hakuna watu, ikabidi nimsimamishe, alipogeuka, nikakitana na sura ya dume shupavu! Dume kweli! Uso mweusiiiii! Mgumu balaa! Na misuli miwili ina display kwenye paji la uso! We We We!
Nilikimbia kurudi nilikotoka, chap! Yaani ungelikutana na mimi kwenye hilo chocho, ungejua labda kuna panya road nyuma yangu!
[emoji23]
 
Reception lazima ivutie Aisee, demu akiwa mbaya hata kama ana taco heavy siwezi kumfaidi.

Kuna raha yake kunyanduana huku mnaangaliana, sasa demu sura mbovu aisee c wazungu c wanaweza kutoka wamechoka sana.! Kwanza sura mbovu ya mwanamke inasababisha upungufu wa nguvu za kiume.

Wanaume wenzangu wanisamehe tuu, mm nasimama na sura mzuri

IMG_4598.jpg

Dada zenu hao hao vipiii
 
Hakuna mwanamke asiyevutia Kama atahudumiwa kikamilifu.

Uko sahihi, kuna mdada alikuwa wa kawaida sana ...Ila toka semester ya pili ianze naona kawa mzuri balaa(nadhani Kuna mwamba anatoa huduma ya kutosha),
 
Back
Top Bottom