Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yan mwanamke ni lazima uwe mzuri nashangaa sana mwanamke unaanzaje kuwa mbaya,Eti ni lazima! [emoji23][emoji23][emoji23]
Juzi kati nilikutana na dada hilo, lina zigo sio poa, halafu lainiiiiii! Akitembea yanatikisana ndani ya mdela! Kwa kuwa lilikuwa ni eneo la chocho, hakuna watu, ikabidi nimsimamishe, alipogeuka, nikakitana na sura ya dume shupavu! Dume kweli! Uso mweusiiiii! Mgumu balaa! Na misuli miwili ina display kwenye paji la uso! We We We!
Nilikimbia kurudi nilikotoka, chap! Yaani ungelikutana na mimi kwenye hilo chocho, ungejua labda kuna panya road nyuma yangu!
Sio mbaya anakuja-kujaView attachment 2237852
Dada zenu hao hao vipiii
Wabongo ndo zaidi wanaitaji sopsop sanaKwema Wakuu!
Ninawaelewa wanawake katika Kupenda pesa Kwa sababu bila matunzo Kwa kweli hawafurahishi, hawavutii,
Kwa uzoefu wangu mdogo na wanawake nuliowahi kuwaona katika majiji makubwa nachelea kusema Wanawake wengi yaani 95% bila ya urembo hawavutii na wala hawaonekani kuwa wazuri.
Kumkuta mwanamke mzuri bila urembo ni nadra Sana, usishangae kwenye mtaa unapoishi wazuri OG bila ya editing yoyote ukashangaa hakuna hata mmoja.
Wanawake wanaposisitiza wanaume Watafute pesa wanazungumzia kipengele hicho cha matunzo, ili wazidi kuonekana kuwa wazuri. wanawake karibia wote Duniani hawaoni uzuri wao na wengi hushangaa wanaposifiwa kuwa ni wazuri.
Mastaa wengi wa filamu au muziki huvutia wakiwa kwenye Luninga lakini ukikutana nao Live usije ukashangazwa na utakachokiona, wengi wao huvutia Kwa Editing za urembo na Teknolojia ya graphic and Design.
Ni vizuri kuwaelewa Dada na wanawake wetu kuwapa pesa za matunzo ili waweze walau kujiamini na kuyafurahia maisha.
Wapake Mafuta mazuri wawe laini,
Wajipulizie unyunyu wanukie
Wasuke na kuvaa maweaving au mawigi angalau nao waonekane.
Wavae hereni na wapake makeup wavutie na kututega.
Wavae mavazi na nguo za kuvutia ili waonekane.
Wanawake wengi bila urembo Kwa kweli wanatia huruma.
Tuwape pesa, tuwatunze, tuwapende.
Hakuna mwanamke asiyevutia Kama atahudumiwa kikamilifu.
Zingatia, wakuhudumiwa ni Mke WA ndoa tuu, MICHEPUKO isihudumiwe, Kama inataka Huduma iruhusu mke WA pili au watatu.
Unajaribu kutuaminisha Ndevu ni make up????No we're still beautiful sema tu mmeshazoea kuona wakijiremba, so ukiona asiyejiremba unamuona "anatia huruma".
Kuna mkaka majuzi aliniuliza we mbona hutengenezi kucha kama "wenzio"? I was like ndo kina nani hao wenzangu!! So mtu ashazoea kuona kucha ndefu zenye urembo urembo, akiona fupi zenye henna zinamtia huruma!!
View attachment 2236462
View attachment 2236463
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani ni shidaa akiwa na sura mbovu uwezekano wa kuendelea nae baada ya kula ni mdogoo sanaaYan mwanamke ni lazima uwe mzuri nashangaa sana mwanamke unaanzaje kuwa mbaya,
kwangu mm demu ukiwa na taco kubwa halafu sura mbovu aisee ww pita kushoto tuu tusijuane, lkn taco la kawaida halafu sura mzuri aisee ntakupendaje mie
Labda wako ,mi mbona navutiaKwema Wakuu!
Ninawaelewa wanawake katika Kupenda pesa Kwa sababu bila matunzo Kwa kweli hawafurahishi, hawavutii,
Kwa uzoefu wangu mdogo na wanawake nuliowahi kuwaona katika majiji makubwa nachelea kusema Wanawake wengi yaani 95% bila ya urembo hawavutii na wala hawaonekani kuwa wazuri.
Kumkuta mwanamke mzuri bila urembo ni nadra Sana, usishangae kwenye mtaa unapoishi wazuri OG bila ya editing yoyote ukashangaa hakuna hata mmoja.
Wanawake wanaposisitiza wanaume Watafute pesa wanazungumzia kipengele hicho cha matunzo, ili wazidi kuonekana kuwa wazuri. wanawake karibia wote Duniani hawaoni uzuri wao na wengi hushangaa wanaposifiwa kuwa ni wazuri.
Mastaa wengi wa filamu au muziki huvutia wakiwa kwenye Luninga lakini ukikutana nao Live usije ukashangazwa na utakachokiona, wengi wao huvutia Kwa Editing za urembo na Teknolojia ya graphic and Design.
Ni vizuri kuwaelewa Dada na wanawake wetu kuwapa pesa za matunzo ili waweze walau kujiamini na kuyafurahia maisha.
Wapake Mafuta mazuri wawe laini,
Wajipulizie unyunyu wanukie
Wasuke na kuvaa maweaving au mawigi angalau nao waonekane.
Wavae hereni na wapake makeup wavutie na kututega.
Wavae mavazi na nguo za kuvutia ili waonekane.
Wanawake wengi bila urembo Kwa kweli wanatia huruma.
Tuwape pesa, tuwatunze, tuwapende.
Hakuna mwanamke asiyevutia Kama atahudumiwa kikamilifu.
Zingatia, wakuhudumiwa ni Mke WA ndoa tuu, MICHEPUKO isihudumiwe, Kama inataka Huduma iruhusu mke WA pili au watatu.
Yeah Nina sura pesonoo+..Sina tako kwakweli
Labda wako ,mi mbona navutia
Asante ndugu Mjumbe..
Lakini Mheshimiwa jokate! hayooo yooote hana!! maskini yeye nivilevile tu!! anapendeza natural!Kwema Wakuu!
Ninawaelewa wanawake katika Kupenda pesa Kwa sababu bila matunzo Kwa kweli hawafurahishi, hawavutii,
Kwa uzoefu wangu mdogo na wanawake nuliowahi kuwaona katika majiji makubwa nachelea kusema Wanawake wengi yaani 95% bila ya urembo hawavutii na wala hawaonekani kuwa wazuri.
Kumkuta mwanamke mzuri bila urembo ni nadra Sana, usishangae kwenye mtaa unapoishi wazuri OG bila ya editing yoyote ukashangaa hakuna hata mmoja.
Wanawake wanaposisitiza wanaume Watafute pesa wanazungumzia kipengele hicho cha matunzo, ili wazidi kuonekana kuwa wazuri. wanawake karibia wote Duniani hawaoni uzuri wao na wengi hushangaa wanaposifiwa kuwa ni wazuri.
Mastaa wengi wa filamu au muziki huvutia wakiwa kwenye Luninga lakini ukikutana nao Live usije ukashangazwa na utakachokiona, wengi wao huvutia Kwa Editing za urembo na Teknolojia ya graphic and Design.
Ni vizuri kuwaelewa Dada na wanawake wetu kuwapa pesa za matunzo ili waweze walau kujiamini na kuyafurahia maisha.
Wapake Mafuta mazuri wawe laini,
Wajipulizie unyunyu wanukie
Wasuke na kuvaa maweaving au mawigi angalau nao waonekane.
Wavae hereni na wapake makeup wavutie na kututega.
Wavae mavazi na nguo za kuvutia ili waonekane.
Wanawake wengi bila urembo Kwa kweli wanatia huruma.
Tuwape pesa, tuwatunze, tuwapende.
Hakuna mwanamke asiyevutia Kama atahudumiwa kikamilifu.
Zingatia, wakuhudumiwa ni Mke WA ndoa tuu, MICHEPUKO isihudumiwe, Kama inataka Huduma iruhusu mke WA pili au watatu.
[emoji1787]Hata wanaume bila hela ni sawa na umbwa mzee
Hutaki urembo wa artificial!!??Acha niendelee kuwa mrembo wa asili...
Dah! Umenikumbusha Mfalme Zumaridi, week mbili tu za kukaa selo yaani hata Mimi pamoja na weusi wangu ukituweka pamoja mi bado niko bomba sana kuliko Zumaridi! Ila akiwa kinisani utazani Malaika kwa jinsi anavyo waka!!!Watafiti wanasema tukitoa makeup na urembo wanaotumia wanawake, basi wanaume wengi ni wazuri wa sura kuliko wanawake
Hivi ni kweli hampendi wanawake tujirembe kabisa jaman ama ni kamba tu hizi mnatupiga hapa?Haya mambo ya kufosi nimeyaona sku hizi ... Media zimefanya kazi nzuri Sana kubadilisha akili za dada zetu ili biashara zao ziende ila majuto huja baada ya umri fulani kufika na kujua wangependwa bila hayo maurembo.
#USIFATE HY MANENO
[emoji23][emoji23]Dah! Umenikumbusha Mfalme Zumaridi, week mbili tu za kukaa selo yaani hata Mimi pamoja na weusi wangu ukituweka pamoja mi bado niko bomba sana kuliko Zumaridi! Ila akiwa kinisani utazani Malaika kwa jinsi anavyo waka!!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Wamekuaminisha bila urembo huwezi pendwa.Hivi ni kweli hampendi wanawake tujirembe kabisa jaman ama ni kamba tu hizi mnatupiga hapa?