Wanawake wengi bila urembo hawavutii! Sio wazuri

Wanawake wengi bila urembo hawavutii! Sio wazuri

Hata wanaume bila hela ni sawa na umbwa mzee
Sasa wwe unalazimisha kusawazisha! Jamaa kaja na hoja yenye ukweli! Mario kibao tu hawana kitu na bado Wana muonekano mzuri! Kazi kwenu nyie wadada bila urembo hamuwezi kutuvutia,na bila urembo pia hamjiaamini kabisa!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hivi ni kweli hampendi wanawake tujirembe kabisa jaman ama ni kamba tu hizi mnatupiga hapa?
Paka maduta yako au lotion..lipstic kidogo nywele zako natural umepaka mafuta tosha
 
🤣khaaaa!!!
Kweli tena kwanza mie mwaname short hai tayari najua anajiamini self confidence wenyewe mnaiita hiyo.

Mafuta kidogo au lotion yake, skin so smooth like silk ukiipapasa tuu unapigwa shoti mpaka de libolo inazimuka🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ukitaka upate mwanamke nachulo kabisa basi tafuta msabato wale mafuta ya nazi au mgando tu wamemaliza nywele wananyoa kama vipanki fulani kazi imeisha
 
Back
Top Bottom