Wanawake wengi bila urembo hawavutii! Sio wazuri

Wanawake wengi bila urembo hawavutii! Sio wazuri

Uzuri wa nje ni mbwe mbwe tu uzuri wa ndani ya moyo ndiyo mpango mzima.
 
Mambo ya reception au sio ..ila mie nawalaune wadhungu bwana...haya mambo ya sura ni kutokana na wao kutuletea mambo ya kula denda
Reception lazima ivutie Aisee, demu akiwa mbaya hata kama ana taco heavy siwezi kumfaidi.
sura ikiwa personal sii nakuweka style ya doggy huku mie nahangaika na tako tuu sura yako itabakia kuwa personal tuu
Kuna raha yake kunyanduana huku mnaangaliana, sasa demu sura mbovu aisee c wazungu c wanaweza kutoka wamechoka sana.! Kwanza sura mbovu ya mwanamke inasababisha upungufu wa nguvu za kiume.
Eti eeh [emoji23] aisee kweli nimeamini wanaume mnatofautiana.
Wanaume wenzangu wanisamehe tuu, mm nasimama na sura mzuri
 
Kwema Wakuu!

Ninawaelewa wanawake katika Kupenda pesa Kwa sababu bila matunzo Kwa kweli hawafurahishi, hawavutii,
Kwa uzoefu wangu mdogo na wanawake nuliowahi kuwaona katika majiji makubwa nachelea kusema Wanawake wengi yaani 95% bila ya urembo hawavutii na wala hawaonekani kuwa wazuri.

Kumkuta mwanamke mzuri bila urembo ni nadra Sana, usishangae kwenye mtaa unapoishi wazuri OG bila ya editing yoyote ukashangaa hakuna hata mmoja.

Wanawake wanaposisitiza wanaume Watafute pesa wanazungumzia kipengele hicho cha matunzo, ili wazidi kuonekana kuwa wazuri. wanawake karibia wote Duniani hawaoni uzuri wao na wengi hushangaa wanaposifiwa kuwa ni wazuri.

Mastaa wengi wa filamu au muziki huvutia wakiwa kwenye Luninga lakini ukikutana nao Live usije ukashangazwa na utakachokiona, wengi wao huvutia Kwa Editing za urembo na Teknolojia ya graphic and Design.

Ni vizuri kuwaelewa Dada na wanawake wetu kuwapa pesa za matunzo ili waweze walau kujiamini na kuyafurahia maisha.

Wapake Mafuta mazuri wawe laini,
Wajipulizie unyunyu wanukie
Wasuke na kuvaa maweaving au mawigi angalau nao waonekane.
Wavae hereni na wapake makeup wavutie na kututega.
Wavae mavazi na nguo za kuvutia ili waonekane.

Wanawake wengi bila urembo Kwa kweli wanatia huruma.
Tuwape pesa, tuwatunze, tuwapende.

Hakuna mwanamke asiyevutia Kama atahudumiwa kikamilifu.

Zingatia, wakuhudumiwa ni Mke WA ndoa tuu, MICHEPUKO isihudumiwe, Kama inataka Huduma iruhusu mke WA pili au watatu.
Nimeelewa funzo,
Tuwapatie pesa wake zetu ili wajipambe, wapendeze! Wawavutie wanaume wengine uko duniani!
 
Back
Top Bottom