Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Ukishatumia tu huo upuuzi jiandae kuwa na bwawa la mtera, bibi kuwa wa baridi, kupoteza ashki za unyumba na hata ugumba wa miaka mingi au kutozaa tena.Ajabu Mie mume wangu hataki nitumie uzazi wa mpango wa aina yoyotee.......tunatumia pull and pray🤣
Kwani huwezi kuhesabu siku zako?Ajabu Mie mume wangu hataki nitumie uzazi wa mpango wa aina yoyotee.......tunatumia pull and pray🤣
Halafu ikifika danger days tuwe tunaangaliana tu?Kwani huwezi kuhesabu siku zako?
Si nitazaa Kama nyau Mie? Manake Mimi hata nikipigwa busu tu....mimba tayari.....ndo nilikuwa nataka nianze kutumia njia za kisasa za uzazi wa mpango.Ukishatumia tu huo upuuzi jiandae kuwa na bwawa la mtera, bibi kuwa wa baridi, kupoteza ashki za unyumba na hata ugumba wa miaka mingi au kutozaa tena.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Sasa unafanyaje ili usipate mimba?Halafu ikifika danger days tuwe tunaangaliana tu?
Unajua mimba haiingii kila siku, balaa ni kuwa pale kwenye danger days ndo kwenye vibe pale, Yani mume akikuangalia tu unaitika.
Ndo nazaa Kama mpemba,......uzuri huyu Baba anapenda watoto.Sasa unafanyaje ili usipate mimba?
Mumeo hana self control hadi ashindwe kujizuia tarehe hatari za mimba? Hekima/maamuzi sahihi ni kipimo cha utu uzima, zingatia "hekima".Si nitazaa Kama nyau Mie? Manake Mimi hata nikipigwa busu tu....mimba tayari.....ndo nilikuwa nataka nianze kutumia njia za kisasa za uzazi wa mpango.
Yeye Hana shida, tatizo Mimi......🤣🤣🤣Mumeo hana self control hadi ashindwe kujizuia tarehe hatari za mimba? Hekima/maamuzi sahihi ni kipimo cha utu uzima, zingatia "hekima".
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
🤣🤣🤣🤣Yeye Hana shida, tatizo Mimi......🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂 Mwanamke huyo anakuwa anaitaka mimba.Hivi ulishawahi kuapply hii njia consistently na kwenye situation zote ukiwa soba na ukiwa kwenye influence ya kinywaji. Kama kweli uliweza basi wewe jemedari na unaweza kutupa ushuhuda. Shuhuda ya kwanza je mwenza wako alilipokea vipi hili, alikuruhusu kwa mikono yake miwili kuachia kiwiliwili chako kichomoke katikati ya kishindo cha raha. Wengi wakijaribu kiuno kinashikiliwa na kurudishwa pale kilipokuwa kwa speed ya light.
Mumeo hajui kucheza na calendar au? Hamna mwanamke mwenye mayai siku zote 28. Kuna siku 5 tu zenye uwezekano wa mimba.Si nitazaa Kama nyau Mie? Manake Mimi hata nikipigwa busu tu....mimba tayari.....ndo nilikuwa nataka nianze kutumia njia za kisasa za uzazi wa mpango.
Na hela anazo za kutosha maana kama huna hela lazima uwe makini na maamuzi yako.Ndo nazaa Kama mpemba,......uzuri huyu Baba anapenda watoto.
Siku tano zote hizo namuangalia tu? Halafu ukute katoka safari sijamuona wiki mzima! 🤣🤣🤣🤣Mumeo hajui kucheza na calendar au? Hamna mwanamke mwenye mayai siku zote 28. Kuna siku 5 tu zenye uwezekano wa mimba.
Kila mtoto anakuja na rizki yake🤣🤣Na hela anazo za kutosha maana kama huna hela lazima uwe makini na maamuzi yako.
🤣🤣🤣Siku tano zote hizo namuangalia tu? Halafu ukute katoka safari sijamuona wiki mzima! 🤣🤣🤣🤣
Nyie ndo mnatuongezea shida ubungo na mwenge mataa. Mtu anakuja kusafisha kioo cha gari hata hujaomba kisha anakudai 200 ya kula.Kila mtoto anakuja na rizki yake🤣🤣
Kama unapenda kuvutia kiuno ndani bao likitoka pale basi jua hio mbinu ya "mchomoko" itawacost sana.Siku tano zote hizo namuangalia tu? Halafu ukute katoka safari sijamuona wiki mzima! 🤣🤣🤣🤣
Tumeambiwa tuje tuujaze Ulimwengu.....ni malezi tu, unaweza kuzaa mmoja na bado akawa chokoraa.Nyie ndo mnatuongezea shida ubungo na mwenge mataa. Mtu anakuja kusafisha kioo cha gari hata hujaomba kisha anakudai 200 ya kula.
We zaa tu upo na kibosile. Hizi ada za million 4/4 lazma tuwe makini na uzazi.Tumeambiwa tuje tuujaze Ulimwengu.....ni malezi tu, unaweza kuzaa mmoja na bado akawa chokoraa.
Kwa kweli Mimi nikisikia hivyo vitisho vya njia za uzazi wa mpango naona Bora nizae tu......uzuri nakaribia menopause mayai yataisha soon.
Uko sahihi.Ukishatumia tu huo upuuzi jiandae kuwa na bwawa la mtera, bibi kuwa wa baridi, kupoteza ashki za unyumba na hata ugumba wa miaka mingi au kutozaa tena.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.