Wanawake Wengi Hawataki kutumia Uzazi wa Mpango ila wanapenda Kugegeduana Pekupeku, Kibaya hawataki mimba au Kuzaa;Hii imekaaje?

Ukishatumia tu huo upuuzi jiandae kuwa na bwawa la mtera, bibi kuwa wa baridi, kupoteza ashki za unyumba na hata ugumba wa miaka mingi au kutozaa tena.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Si nitazaa Kama nyau Mie? Manake Mimi hata nikipigwa busu tu....mimba tayari.....ndo nilikuwa nataka nianze kutumia njia za kisasa za uzazi wa mpango.
 
Mumeo hana self control hadi ashindwe kujizuia tarehe hatari za mimba? Hekima/maamuzi sahihi ni kipimo cha utu uzima, zingatia "hekima".

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Hivi ulishawahi kuapply hii njia consistently na kwenye situation zote ukiwa soba na ukiwa kwenye influence ya kinywaji. Kama kweli uliweza basi wewe jemedari na unaweza kutupa ushuhuda. Shuhuda ya kwanza je mwenza wako alilipokea vipi hili, alikuruhusu kwa mikono yake miwili kuachia kiwiliwili chako kichomoke katikati ya kishindo cha raha. Wengi wakijaribu kiuno kinashikiliwa na kurudishwa pale kilipokuwa kwa speed ya light.
😂😂😂😂😂😂😂 Mwanamke huyo anakuwa anaitaka mimba.
 
Si nitazaa Kama nyau Mie? Manake Mimi hata nikipigwa busu tu....mimba tayari.....ndo nilikuwa nataka nianze kutumia njia za kisasa za uzazi wa mpango.
Mumeo hajui kucheza na calendar au? Hamna mwanamke mwenye mayai siku zote 28. Kuna siku 5 tu zenye uwezekano wa mimba.
 
Siku tano zote hizo namuangalia tu? Halafu ukute katoka safari sijamuona wiki mzima! 🤣🤣🤣🤣
 
Kama unapenda kuvutia kiuno ndani bao likitoka pale basi jua hio mbinu ya "mchomoko" itawacost sana.
 
Nyie ndo mnatuongezea shida ubungo na mwenge mataa. Mtu anakuja kusafisha kioo cha gari hata hujaomba kisha anakudai 200 ya kula.
Tumeambiwa tuje tuujaze Ulimwengu.....ni malezi tu, unaweza kuzaa mmoja na bado akawa chokoraa.
Kwa kweli Mimi nikisikia hivyo vitisho vya njia za uzazi wa mpango naona Bora nizae tu......uzuri nakaribia menopause mayai yataisha soon.
 
We zaa tu upo na kibosile. Hizi ada za million 4/4 lazma tuwe makini na uzazi.
 
Back
Top Bottom