Wanawake wengi huondoka na watoto wakidhani wanaume watawafuata. sijui nani aliwadanganya kuwa mwanaume mtego wake ni mtoto

Wanawake wengi huondoka na watoto wakidhani wanaume watawafuata. sijui nani aliwadanganya kuwa mwanaume mtego wake ni mtoto

Nakubaliana wewe kwa points zako isipokuwa ni vyema ukumbuke kuwa mwanamke na mtoto wapo attached kuanzia mimba inatungwa zygote stage, kichanga kinakua kwenye uterus hadi kinapokuwa kwenye kondo la nyumba (placenta) na mpaka kichanga kinazaliwa na hadi kichanga kinatenganishwa kwa kukatwa kitovu.

Bado mwanamke aliyejifungua ataendelea kumnyonyesha na kumkumbatia kichanga chake hadi kitakapokuwa. Kwa hiyo kinachomfanya mwanamke aondoke na watoto wake ni strong bond na attachment iliyokuwepo Kati ya mama na mtoto na si kwa sababu anakufikiria wewe mwanaume utamfuata.
Ukosahih mkuu, ila % kubwa wengi hufanya hivo kwa nia ya kukomoa.

Pia mim nmejiridhisha bila wasiwasi kwamba pamoj na mtoto kukaa miez 9 na kunyonya maziw ya mama yake, ila kama utotoni hataishi na mama yake bond yao inakuwa hafifu sana kuliko mtoto na baba yake hawakuishi pamoja katika makuzi ya mtoto.
 
Wanaondoka na watoto zao sababu wanajua mnaweza kuwabaka… 😹

Mwanaume mlevi mbwa, malaya muda wote anawaza mbususu.. unaweza kumuachia watoto??
Dah kumbe baba yako alikubaka
 
Wanaume walevi linapokuja suala la bichwa la chini hamjui hao km watoto zenu…!!
I dont think so. Mimi nimekuwa kwenye familia ambayo wanaume wote wanakunywa na hakuna hata aliyewahi kuhisi watoto kutendewa unyama kama huu. Nadhani ni suala la mazingira mtu aliyolelewa. la siyo kama nakataa kuwa kuna familia nyingine ambazo haziaminiani kabisa na kila kinachofanyika kinaangaliwa kwa macho mawili.
 
Dah kumbe baba yako alikubaka
Alianzia kwako kukubaka… si umeona matokeo yake nguvu huna unaparamia comment hovyo..!!

Hivi alikupiga vingapi? Usiniambie alikupiga day & night 😹😹😹
 
Na wewe ukiwemo usijitoe mkuu 😹
Yep, kama ndivyo utuonavyo mimi ni nani mpaka nikatae?. Sema ujue mtu akivuta bangi akaanza kuwaona watu kama sisimiz ujue tatzo ni hizo bhange zake. Hivyo mkuu uangalie hiyo bange mapenzikuuma umeinyea wap. Lkn nichek inbox nina dawa yako asee kama hauta jali 😎😎.
 
I dont think so. Mimi nimekuwa kwenye familia ambayo wanaume wote wanakunywa na hakuna hata aliyewahi kuhisi watoto kutendewa unyama kama huu. Nadhani ni suala la mazingira mtu aliyolelewa. la siyo kama nakataa kuwa kuna familia nyingine ambazo haziaminiani kabisa na kila kinachofanyika kinaangaliwa kwa macho mawili.
Mkuu kuna wazazi ni wa hovyo, hakuna mama anayekataa kubaki au kuacha watoto kwa baba ambaye yuko vizuri..!!
 
Wanaume wengi hung'ang'ania watoto kama silaha ya kuwachapia na kuwatishia wake zao
Hapo umendaika kinyume kinyume dear.

Hebu kwenye hii comment yako hapo kwenye "wanaume" andika wanawake na hapo kwenye kwenye "wake" andika waume hili bandiko lako liwe na uhalisia.
 
Alianzia kwako kukubaka… si umeona matokeo yake nguvu huna unaparamia comment hovyo..!!

Hivi alikupiga vingapi? Usiniambie alikupiga day & night 😹😹😹
Mi nilimfirimba baba Yako vi3
 
Alianzia kwako kukubaka… si umeona matokeo yake nguvu huna unaparamia comment hovyo..!!

Hivi alikupiga vingapi? Usiniambie alikupiga day & night 😹😹😹
Unataka nikubandue vingapi we malaya
 
Mi nilimfirimba baba Yako vi3
Baba anabaka wajinga km wewe na mwenyewe umeshuhudia..!!

Hata hivyo kasema hataki mchepuko ko kitulize mkuu..! Hata mi sijapenda kuwa na step maza aina yako.! Tchao 😹
 
Unataka nikubandue vingapi we malaya
Kurudia kureply comment moja mara mbili ni kwamba dawa imekuingia… 😹😹

Kwaheri tukutane kwenye uzi mwingine, karibu kwenye Ulimwengu wa Lamomy. Unapokelewa km ulivyokuja 🤣
 
Keshaandika mleta mada imetosha

Halafu JF hatuitani dear. Ni Mkuu
Hapo umendaika kinyume kinyume dear.

Hebu kwenye hii comment yako hapo kwenye "wanaume" andika wanawake na hapo kwenye kwenye "wake" andika waume hili bandiko lako liwe na uhalisia.
 
Watoto uliowazaa wanaumuhimu Kwa Mwanaume pale unapoishi naye. Weka akilini hiyo.

Weka na hii Hapa, Mwanamke anaumuhimu Kwa Mwanaume pale wanapoishi Pàmoja.

Zingatia, Wanaume wengi hujiona wanawajibu Kwa wale anaowaona. Yaani waliokaribu Yake ndîo Huona umuhimu waô kuliko waliombali, asiowaona. Kisaikokojia Mwanaume huchukua hatua na kufanya reactions Kwa Kuona. Yaani macho yanaathari kûbwa Kwa Mwanaume.

Ni Kosa la kiufundi Kwa Mwanamke kutokujua Saikolojia hii.

Hata ukiwa Mke WA Ndoa, kadiri unavyokuwa Karibu na Mumeo ndivyo wajibu wa Mwanaume huyo kwako unaongezeka.

Wanawake wengi hufanya Makosa ya kiufundi ndàni ya Ndoa. Mfano, wamegombana kidôgo na Mumewe anafungasha virago anaondoka.

Hilo ni Kosa la kiufundi.

Mwanaume hanaga Muda wa kukufikiri ukiwa Mbali naye. Weka akilini hiyo.

Mwanaume anakuwa na stress pale anapokuona hauna Raha, umenuna, au haujala kisa yeye hajatafuta Hana Pesa. Na wengi hufa mapema Kwa sababu hiyo.

Unapogombana na Mwanaume ukabaki hapohapo Usiku hawezi Kulala vizuri. Lakini ûkienda kwèñu au ukiondoka nakuhakikishia atalala usingizi mtamu na haitachukua Muda atakusahau.

Mwanaume anapokufukuza nyumbani kwàke lengo lake kuu ni awe na Amani na utulivu Kwa sababu ukiendelea kukaa pale Wakati mmegombana Moyo wake hautakuwa na furaha, kula hatakula Vizuri, Kulala hatalala, akienda Bar anakuwaza tuu wewe. Anawaza atarudije nyumbani.

Uchunguzi wangu unaonyesha Wanawake wengi yàani ya zaidi ya Asilimia 90% waliojaribu kukimbia Nyumba hawakupigiwa Simu na waume zào ili warudi.

Wanawake Baadhi Yao walirudi wènyewe Kwa aibu na Hasira kuwa hata wakiondoka Mwanaume Hana uhitaji kihivyo.

Wanaume hufuatilia Wake Zao wakiwa chini ya Mmiliki Yao yàani nyumbani Kwa Mume lakini Mke akishaondoka Mume anasahau kama yeye ni Mume na Uhuru wake huongezeka.

Kûna Wanawake hufikiri akiondoka na Watoto ndîo Mume atamfuata.
Waisjaribu kwa mchaga n balaaa

Kaka yangu ana Mwaka WA 15 atakuwa HATA kusikia sauti ya mwanae Wala mama yake mwisho wameamua kuja home akimwambja huyu NDIE baba yako..baba yako halisi kakutaaaa loh....mtoto WA hiari...NKAMWAMBIA wachaga HATUNA hii huyu lazima akakae kwa baba yake pambana
 
Back
Top Bottom