Naunga mkono hoja yako, met a couple of good people humu.Aiseee!!!!
Nimejiunga jf 2009,, kwa I'd moja matata..... 2013nikabadili I'd baada ya kupata mchumba na kuolewa!!!!! Toka kipindi hicho nimebadili I'd 5 hii ya SITA herufi kubwa.
Leo hii utafute mwanaume jf Tena miaka hii,,, unaijua jf party wewe???! Jf together party inaijua wewe??!!
Mule kulikuwa na ma handsome yenye akili za maana kazi za maana..... ukimuona tu anatamani akuite na mule Kuna couple tulizishuhudia na mpaka sasa hivi Zina survive........
Mwanaume wa umri wetu tulio kuwa nao alikuwa akikwambia Mimi Fulani na kazi Fulani ilikuwa kweli!¡!! Kama Yuko nje utaoga usd na watu walikuwa really
Unabadili I'd uje jf kutafuta vivulana hivi ambavyo vina type vikiwa sebuleni kwa shemeji...... Vikisisitiza sijui kataa ndoa, mwanamke hahongwi, kojoa usijali kuhusu yeye atajijua. Vikishiba chai ni kuanzisha nnyuzi mwanamke hivi mara vileeee!!!!!?
Hata hivyo jf inshu zake ni changamsha genge lakini katika kuchangamsha hilo genge tafuteni ukweli na muuandike.
Nikwambie tu hii forum ukiitumia vizuri utakutana na watu usiotarajia kukutana nao..... Kuhusu connection hapa ni sehemu nzuri sana inayoweza kuku connect na wenye Tanzania yao.
Kazi kweli kweli, bora kutafuta duniani tuDunia ina wanaume zaidi ya bilioni 6 , jf wanaume labda laki moja tu na I'd za kujiudia kwa mtu mmoja zaidi ya 7.
Yani ukose wanaume billion 6 humo duniani uje ulaumu wanaume laki 7 wa jf🤔
Humu nina kaka na dada wa maana kabisa. Hii ni forum nzuri sana kwa anaejielewa.Naunga mkono hoja yako, met a couple of good people humu.
biashara kidogo, masuala ya jamii kidogo, na urafiki kiasi.
Unakosaje huko duniani zaidi ya wanaume / wanawake billion saba , halafu uje ulaumu ma parody ya jf ambayo hayazidi haya laki🤔Kazi kweli kweli, bora kutafuta duniani tu
Ndiyo hapo sasaUnakosaje huko duniani zaidi ya wanaume / wanawake billion saba , halafu uje ulaumu ma parody ya jf ambayo hayazidi haya laki🤔
Mi nataka nikuoe waifu matilioniWaoaji wenyewe wako wapi, hawa hawa kataa ndoa au kuna wengine?
Na humu kuna wanawake na wanaume wana body count ya 10+ na wote wa humu humu. Watu wanatombana sana humu aisee. Na jamaa wenye vihela hela humu wanakitembeza balaa. Lot of damaged goods!Wanawake wa kitanzania wakishacheza ligi zote kubwa, wakiona maji ya jioni wanaingia JF na kuunda ID mpya na kuanza kutafuta wanaume.
Niwaambie tu huo mchezo wenu ni wa kitoto Sana mnaofanya na hamtapata kitu.
Wewe si upo Kataa ndoa?Mi nataka nikuoe waifu matilioni
Humu unaweza kuta hao kataa ndoa wanawake zao wazuri tu , na hao kubali ndoa hawana hata hizo ndoaNdiyo hapo sasa
Ni kweli humu siyo kwa kuamini sana watuHumu unaweza kuta hao kataa ndoa wanawake zao wazuri tu , na hao kubali ndoa hawana hata hizo ndoa
Una proof mkuu! Hizi ni allegations sidhani kama zina ukweli sana..Na humu kuna wanawake wana body count ya 10+ na wanaume wote wa humu humu. Watu wanatombana sana humu aisee. Na jamaa wenye vihela hela humu wanakitembeza balaa. Lot of damaged goods!
Nani awaoe nyie breki mbupuz bwana...nyie tukulane maisha yaende mpakte vijisenti vya savannah na vochaSasa hawa kina kasongo wa JF kuna muoaji?
Hapana mi ni kubali ndoaWewe si upo Kataa ndoa?
Kumbe ata wee sio wife materialNi kweli humu siyo kwa kuamini sana watu
Mtaani ndio kunaaminika mkuu?Ni kweli humu siyo kwa kuamini sana watu