Wanawake wengi wakifika miaka 30 wanarudi JF kutafuta wanaume wa kuwaoa

Wanawake wa kitanzania wakishacheza ligi zote kubwa, wakiona maji ya jioni wanaingia JF na kuunda ID mpya na kuanza kutafuta wanaume.

Niwaambie tu huo mchezo wenu ni wa kitoto Sana mnaofanya na hamtapata kitu.
Kwani wanakurudia wewe?
Kuna skrepa za kiume pia zitaoa bila kuhoji
 
Bora kutafuta mchumba Facebook kuliko Jamiiforum siku hizi kuna ujinga mwingi sana humu ,kebehi, kejeli masimango sijui sababu ni nini.
Mtu anaweza kuanzisha mada ya kutafuta mwenza kwa nia nzuri lakini reaction anayokutananayo humu unaweza kubaki mdomo wazi.
 
Kwani ungeandika bila kututaja tunaolala sebuleni kwa shemeji kama baiskeli ungepungukiwa nini? Tumekukosea nini sisi?
 
Hadi tunaopinga masuala ya ndoa tumewekwa kwenye kundi la wahuni. 😀😀😀
 
Usitafute mchumba Jf zama hizi kuna wapuuzi wamefungua I'd zinazowatambulisha kama wanawake kumbe ni wanaume mfano yule jamaa aliekua anajiita Holoholo sahivi anajiita Lovely Emmy
 
Kwani ungeandika bila kututaja tunaolala sebuleni kwa shemeji kama baiskeli ungepungukiwa nini? Tumekukosea nini sisi?
Bwana wee anatutukana sasa kwani mie kwenda kukaa kwa shemeji na kusikia migunu ya dada yangu akigegedwa shida iko wapi.....uwezi jua siku shemeji anaweza nikaribisha kwenye chakula chake cha usiku
 
Zaidi ya likes sijakuona ukiandika virefu namna hii, kumbe wewe ni wa long sana, tumekukuta....

Nini sababu ya kubadilisha IDs?
 

Kwahiyo mkuu mtoa mada apuuzwe au azingatiwe maana ni kama kaamsha majini maruhani ya wanawake kupitia huu Uzi
 
Bwana wee anatutukana sasa kwani mie kwenda kukaa kwa shemeji na kusikia migunu ya dada yangu akigegedwa shida iko wapi.....uwezi jua siku shemeji anaweza nikaribisha kwenye chakula chake cha usiku
Ukikaa kwa shemeji gharama za maisha ni ndogo sana ukipata elfu 10 unaitumia mwezi mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…