Wanawake wengi wakiingia kwenye ndoa wanabadilika kitabia

Ndio maana mnapofunga ndoa mnaulizwa swali mpo tayari kuvumilaana kwenye shida na raha? Kama unaona mwanaume unaonewa na mke wako sheria zipo wazi mpeleke hata kwa viongozi wa dini yako wapate kuwashauri au hata kwa mjumbe au balozi au kwa wazazi wake au kwa mzee mwenye hekima aloyewazidi umri ili awashauri.Sasa mwanaume unapoamua kirudi usiku ukiwa umelewa eti unamkomoa kwa kumuoneshea jeuri hapo utakuwa utatui tatizo ndio utazidisha tatizo.Tatizo halikimbiwi angalia njia Bora ya kutatua.Tatizo Kuna baadhi ya wanaume mnapigwa mpaka na wake zenu lakini mnaona aibu kusema mnajikaza kisabuni na Tai shingoni eti kamanda sheria zipo wazi kuwalinda wote.Changamoto katika ndoa ni kawaida ndio maana Kwenye ndoa unapewa cheti mapema mtihani unafuata.Maandiko yanasema Wanaume ishini na wake zenu kwa akili haya maneno yana maana kubwa Tena sanaaa.[emoji2958]
 
ukorofi unaanza, maneno yanaanza, kesi zisizo na msingi, madharau,
Lazima kuna sehemu ukijikwaa mkuu, ungetoa maelekezo makali kabla ya ndoa hawezi kubadilika wengi hatuweki misimamo yetu mikali ndo maana wanatuzoea
 
Vijana wa siku hizi ndio maana Wanawake wanawapanda kichwani,ukishaingia kwenye ndoa fedha haina nafasi ya kuamua hatima ya ustawi wa ndoa yenu bali ni upendo,nidhamu,kuheshimiana,utii na Mwanamke kuwa chini ya Mwanaume kimamlaka na maamuzi.
Uzi umefungwa rasmi
 
Ndio kanuni niliyonayo tangu ujanani hadi sasa nazeeka, Yaani Sikai na msumbufu ndani ya nyumba asee, hata ungekuwa na urembo kiasi gani kwa sababu ya k tu!!!! Aaahh yaan K tu

Kuna jamaa yangu aliletewa mapichapicha na mrs wake (alikuwa ni pisi ya maana) ndoa ni ya kanisani mwanamke ni mwajiriwa na jamaa ni mwajiriwa wana watoto wawili miaka minne dogo mwingine miaka 6 watu wakamshauri oooh ukiachana na mkeo watoto bado wadogo hawatapata malezi bora sijui bla bla nyingine

Jamaa anasema fomula yake ukimshauri x anaenda kufanya z,[emoji3][emoji3] jamaa akamtimua mkewe kwamba aende kwao atamfata hadi leo miaka 4 hajamfata na hategemei kumfata (eti mpaka mwanamke mwenyewe akiamua kwenda mahakamani kudai talaka.) na demu nalo lilivyojinga lilikaa kwao kama miezi 9 tu likaenda kupanga.

Mpaka leo watoto wanasoma fresh umri umeongezeka havina time na maza, alichokifanya alienda kuchukua watoto wa kike watatu wa ndugu zake kaja kuwasomesha kwake na beki tatu yupo kwa hiyo inaonekana kujaa maana mrs wake alivyoondoka nyumba ilikuwa ukiwa sana alikuwa ye na watoto wake tu.

NB: mdada ukikutana na mwanaume ambaye unahisi unamwendesha unavyotaka jua kuna mawili bado ni mvulana au umemwendea kwa "sangatiti".

"Hakuna Mwanaume jeuri mbele ya Mwanamke mnyenyekevu"
 
Mwanaume, ukiona mwanamke wako anakusikiliza yaani we ndio msemaji ye msikilizaji(kukuelewa), kuheshimu huyo mwanamke usimpoteze..

Mwanamke, ukiona mumeo hakusikilizi kila unapotoa maelekezo yeye hafuati, achana nae katafute anayefuata maagizo yako
 
Watu kama nyie kila mahali mpo. Mnakuaga na busara sana. Big up

Ila na weww unaweza kukuta una maswahibu chungu nzima ktk ndoa

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 

Kwenye profile ni picha yako halisi ?
 
Jamani jamani jamani mtusameheee jamani tusameheni na sisi ni binadamu..nyie mna madhaifu yenu nasi pia vivyo hivyo. Nadhani kuzaa kunyonyesha na majukumu ya familia na ulezi watt ni kitu kimoja kigumu sana.
Hivi kwani siku hizi mnalea au wasaidizi wa kazi ndiyo wanalea,na nyinyi si huwa mnatoka kwenda kutafuta ugali au wewe mama wa nyumbani ? Kama mama wa nyumbani hapo sawa.
 
Mkeo hata kama ana matatizo vipi suala la kuwahi kurudi nyumbani ni la lazima sababu sisi ndiyo walinzi wa wake zetu.

Matatizo ya kifamilia hayakimbiwi bali tunatakiwa kuyatatua.

Mengine uliyoyasema ni kweli kabisa Wanawake wanayo,ila na sisi waowaji tunatakiwa kujitathmini,kuna sehemu huwa tunakosea.
 
Tafuta hela uheshimiwe
Bibie hela haimfanyi mwanamke akuheshimu bali heshima kwa mwanamke hunfanya na yeye akuheshimu.

Sisi tuna wake hili tunalijua,na watu wana hela hizi habar tunazo,kuna mwalimu mmoja alipata kusema haya "Mtoto wa kike akishakuwa anakushika Pumbu zako na kuzichezea,basi lolote anaweza kukufanyia haijalishi wewe na nani na una nini,sababu anakuwa anakujua mpaka ndani.". Almuhimu tunatakiwa kubadilika,wanawake wangapi wamekimba kwenye hela na wala hawakujuta kwa chochote na maisha yanaenda.

Nakomea hapa.
 
Napingana na wewe kwamba wanakuwa wamebadilika wakiingia katika ndoa. Wenye tabia hizo, wanakuwa wameonesha tabia halisi walizo nazo, baada ya kuzificha muda mrefu wakiwa katika uchumba.
 
Unayumba mkuu
Speech kama hizi zinafariji kuwa bado Kuna wenye misimamo bado wapo hata mimi baadhi wanaume wenzangu wananiona kama mkoloni mwenye maamuzi magumu wenyewe wanaiga love screen za kikorea afu mtu anauliza kwanini wanabadilika badala ya kumkabili mtu eti wanakimbia nyumba
 
Hivi kwani siku hizi mnalea au wasaidizi wa kazi ndiyo wanalea,na nyinyi si huwa mnatoka kwenda kutafuta ugali au wewe mama wa nyumbani ? Kama mama wa nyumbani hapo sawa.
Sijakuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ