Wanawake wengi wameolewa ila hawawapendi waume zao kutoka moyoni

Manzi yangu wa Sasa tuna wiki mbili ashaanza nielezea umuhimu wa kuandika urithi,namchora tu ili nile mbususuuu halafu ndio badae apigwe na kitu kizito.
 
Sasa kuna huyu natembea nae sijui ana shida gani , mali za kutosha, watoto wazuri amezaa wa kutosha, huwa najiulizaga sasa huyu anataka nini sijui.
 
Wanawake wengi wakinifungua hua hamu ya tendo inapungua km sikuisha kabisa na inahamia kwa mtoto,nitahidi sn kua nae karibu and if possible mtoe outing nyingi uwezavyo yy na mtoto ili kumbadilishia mazingira maana bila ya hivyo ndio muda wakumtafuta jirani amkaze kwakua ww huna hajanae the rest ni habits za mtu tu
 
Nilichogundua hapo huyo bimkubwa anamdanganya huyo bint yeye kashamaliza yadunia mpaka wajukuu anao sasa anaishije kinafiki kwenye ndoa wakat ashazeeka, sometimes hawa watuwazima viazi hawapaswi kukaa karibu na mabint🚮🚮🚮
 
Dah mimi nimeligundua hilo,mke wangu naishi nae kimachale......ukijifanya umefika unaweza tandikwa ''KO'' ukajikuta unaangukia kwenye presha,kisukari,stroke,umaskini na pombe!
 
actually it is true,
ndoa nyingi mno, hususani za sasa, zina sura hiyo, na maisha yanaendelea kwasababu tu ya dhamana ya pamoja waliyonayo wana ndoa, mathalani watoto, mali au dini, lakini ile true love moto moto hakuna kabisa🐒
 
Fedha kwa siku hizi inaamua mwanamke aolewe na nani, maswala ya kupenda yamebaki kwenye tamthilia za Kifilipino na Telenovela.

Baaadhi ya wanawake siku hizi huchanganyikiwa,hasa akikutana na situation ya anaye mpenda ana uchumi wa kawaida na yule hasiye mpenda ana hela na anania ya kumuoa.Hapa ndipo anaenda kuolewa na yule mwenye fedha,ila still yule anaye mpenda anakuwa kidumu chake na unaweza ukakuta kwenye watoto na yy ana mtoto wake.
 
Ushauri mzuri Sana, mkubwa wetu Shimba ya Buyenze.
Last nime penda hapo, I mean no malice to nobody 😁😊🙏
 
financial services njoo usome kwa makini, usije sema siku kujulisha mema.
 
Wanawake hawana uwezo wa kupenda.

Women are loyal to their need of you. Not yourself
 
Hili ni dunia nzima. Binadamu tungekubali kuishi kama wanyama yani bila ndoa, nadhani maisha yangekuwa mazuri. Ndoa ni hati miliki, ina wanyima watu uhuru wa kuishi watakavyo. Ama ukubali uwe single faza au single maza, bila hivyo utaishi kama sisi, yani kuvumiliana tu.
 
Kweli kabisa. Wanadai muda ukifika ni SAGULAGA! Njemba yoyote ikitokea poa!
Hapo wanaangalia maslahi tu aliyokuwa nayo dume! Na huwa hazidumu hasa wikisha zaa na mwanamke kuwa vizuri kimaisha.
Namuonea huruma njemba yangu ikishakuwa mwanaume na kufikisha muda wa kupata mwenza 😢😭😹😿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…