Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Sasa mnavyotulaumugi kupenda pesa!! Hebu kuweni na msimamo.Mwanamke sio jukumu lake kumpenda mume.
Hata biblia imeandika hivyo
Wanawake nao pia Wana machaguo Yao.Mwanaume ndiye anaeoa.. huchagua yeyote wa kumfaa.
Mwanamke ni msaidizi. Atasaidia pale atakapochaguliwa kusaidia.
"Enyi waume wapendeni wake zenu, enyi wake watiini waume zenu"
Kuruhusu mwanamke apate chaguo lake, ndo kumeifanya hii sekta ya ndoa kuwa ngumu na kuwafanya kataa ndoa watembee vifua mbele.
A man needs a kingdom to be a King; however, a woman needs a King to be Queen.
Sijakuelewa,hebu jazia nyama kidogoMatarajio ya Moyo ni ya mwanadamu, jawabu la ulimi latoka kwa Bwana
Kulinda uchumi kivipi ina maana huwa huwaoni wanandoa walioimarika kiuchumi baada ya kuoana.KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
Ila wanaume ni wachache ukilinganisha na wanawakeSame as men
Suluhisho?Almost 80% ya wanawake wanaishi na waume ambao sio chaguo lao halisi.
Yaani they just " settled" with their current husbands baada ya kushindwa kupata wanaume WA ndoto Zao.
Kwa utafiti uliofanywa, wanawake 7 Kati ya kumi walikiri wanaishi na mwanaume ambaye hakuwa chaguo lake kwa asilimia 💯
Yaani alijikuta Tu yupo naye hakujua wengefika hapa walipofikia.
Ndio maana mwanamke akijipata kiuchumi huwa anawaza kuomba talaka kwa mumuwe awe huru aishi maisha yake kwa sababu amekuwa 'independent'
Ni wanawake wachache Sana ambao wanaishi na wanaume WA ndoto Zao.
Bt most of them have just " settled" with men they didn't dream for.
Ndivyo ilivyo mkuuHii ni kwel kwa asilimia 80%
Si Kila jambo wanalopanga wanadamu linaweza tokea isipokuwa kwa mpango wa MunguSijakuelewa,hebu jazia nyama kidogo
Kujichosha kivipi sasa?Suluhisho?
Hata ukienda Ulaya na Japani ni hivyo hivyo.
Acha kujichosha