Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
- Thread starter
- #21
Sahihi kbsaSi Kila jambo wanalopanga wanadamu linaweza tokea isipokuwa kwa mpango wa Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi kbsaSi Kila jambo wanalopanga wanadamu linaweza tokea isipokuwa kwa mpango wa Mungu
Usijidsnganye mkuu.Wanawake nap Wana jukumu la kupenda kama wanavyopenda wanaume.Mwanamke sio jukumu lake kumpenda mume.
Hata biblia imeandika hivyo
Weka poll hapa uone au kwingineko ndo utajua wanaume wanalazimika kuwa walevi kwa stress na hawana pa kusema kwa kulinda “uanaume” wanakufa na tai shingoni. Kwa ufupi ni moja ya sababu ya wanaume kufa mapema kabla ya wamamaIla wanaume ni wachache ukilinganisha na wanawake
Pamoja na hayo yote, wanawake bado ni wengi kuliko wanaume.Believe me.Weka poll hapa uone au kwingineko ndo utajua wanaume wanalazimika kuwa walevi kwa stress na hawana pa kusema kwa kulinda “uanaume” wanakufa na tai shingoni. Kwa ufupi ni moja ya sababu ya wanaume kufa mapema kabla ya wamama
Kwa imani yes kwa Numbers no! Let’s do research weka poll hapa! Wanawake wako more vocal na attention seeking ndo maana unahisi hivyoPamoja na hayo yote, wanawake bado ni wengi kuliko wanaume.Believe me.
Yule saidi aliye hukumiwa kunyongwa chanzo si mkewe?.Kulinda uchumi kivipi ina maana huwa huwaoni wanandoa walioimarika kiuchumi baada ya kuoana.
Wahuni WA kataa ndoa MNA sababu za kijinga Sana dhidi ya ndoa
Huyo mwanamke hakuwa anampenda Hamisi.Yule saidi aliye hukumiwa kunyongwa chanzo si mkewe?.
Kampa biashara, hela ila bado kasalitiwa na kadharauliwa juu.
Kama hajakutana na mwanaume WA ndoto zake atalazimika kusettle na mwanaume yeyote ilimradi Tu.Hao wa ndouo tatizo unakuta hawajatulia asa akina mwanaume wa maana anaetaka.ku settle kwann usiolewe ukatulia
Ila siku hizi si wanachagua.Nao Wana vigezo vyao kwa wanaumeIlianza zamani sana. Mwanamke hakua na uhuru wa kuchagua apendae bali kuchaguliwa na wazazi,ndugu ,jamaa etc
Ila siku hizi si wanachagua.Nao Wana vigezo vyao kwa wanaume
Ila siku hizi si wanachagua.Nao Wana vigezo vyao kwa wanaume
Hawachagui pesa,wanachagua mwanaume mwenye pesaSiku hizi wanachagua pesa kwanza mengine baadae
Shida huja unapong'ang'ania jambo sio tu ndoa jambo lolote ukiona haliendi achana nalo ..Kama hajakutana na mwanaume WA ndoto zake atalazimika kusettle na mwanaume yeyote ilimradi Tu.
Then afterwards matukio yanaanza mwanaume anaanza kuziona rangi kamili za mke wake.
Yule jamaa aliyehukumiwa kinyonge Alikuwa king'ang'anizi kwa Yule mwanamke Hadi akabadilisha DINI ili kumfurahisha mwanamke ndo amkubalie.
Nadhani kila mtu anajua kilichofuata baada ya hapo
Mkuu nakuhakikishia kuwa mara zote mwanamke huwa anadeal na chaguo lake, namaanisha utakuwa best choice au option nzuri kulingana na mazingira.Almost 80% ya wanawake wanaishi na waume ambao sio chaguo lao halisi.
Yaani they just " settled" with their current husbands baada ya kushindwa kupata wanaume WA ndoto Zao.
Kwa utafiti uliofanywa, wanawake 7 Kati ya kumi walikiri wanaishi na mwanaume ambaye hakuwa chaguo lake kwa asilimia 💯
Yaani alijikuta Tu yupo naye hakujua wengefika hapa walipofikia.
Ndio maana mwanamke akijipata kiuchumi huwa anawaza kuomba talaka kwa mumuwe awe huru aishi maisha yake kwa sababu amekuwa 'independent'
Ni wanawake wachache Sana ambao wanaishi na wanaume WA ndoto Zao.
Bt most of them have just " settled" with men they didn't dream for.
Mkuu ulishapata Ajira??At her peak stage she choose a playboy, at her declining stage she choose a rescuer. Neither stage a woman choose love.
Wanawake nao pia Wana machaguo Yao.
Each and every one has their own preferences & tastes