Almost 80% ya wanawake wanaishi na waume ambao sio chaguo lao halisi.
Yaani they just " settled" with their current husbands baada ya kushindwa kupata wanaume WA ndoto Zao.
Kwa utafiti uliofanywa, wanawake 7 Kati ya kumi walikiri wanaishi na mwanaume ambaye hakuwa chaguo lake kwa asilimia 💯
Yaani alijikuta Tu yupo naye hakujua wengefika hapa walipofikia.
Ndio maana mwanamke akijipata kiuchumi huwa anawaza kuomba talaka kwa mumuwe awe huru aishi maisha yake kwa sababu amekuwa 'independent'
Ni wanawake wachache Sana ambao wanaishi na wanaume WA ndoto Zao.
Bt most of them have just " settled" with men they didn't dream for.
Mkuu nakuhakikishia kuwa mara zote mwanamke huwa anadeal na chaguo lake, namaanisha utakuwa best choice au option nzuri kulingana na mazingira.
Hakuna namna ninaweza kuwa her perfect selection,
Lakini nina uhakika ninaweza kuwa chaguo lake kwa kipindi na mazingira fulani kulingana na uhitaji wake.
Uhitaji mkuu ninamaanisha energy demand yake. Zingatia kiumbe anayetawaliwa na emotions zaidi kuliko logic siku zote atakuwa mtu wa kuchange kulingana na hali atakayokuwa nayo siku hiyo au kipindi.
Ndio maana Kataa ndoa ndio best way to go now days.
Just enjoy your turn.
Ukimaliza mpasie mwingine/ mwache aende atakapoenda kukidhi haja zake.
Nimejikita kwenye misingi ya democracy na nature.
Zingatia now days dunia ina operate. Ni vema kujiadjust kuishi kulingana na Zama za haki na usawa.
Democracy
Mwanamke ana haki ya kukuweka kwenye friendzone na wewe una haki ya kuchagua kuendelea kubaki kama friend with benefit or her dumbazz friend,
ana haki ya one night stand na hakuna namna nitamlazimisha aingie kwenye mahusiano na mimi kumbuka dating game wanawake wana nguvu kuliko wanaume
NB. Ndoa ipo mikononi mwa mwanaume kwaiyo wanawake hawana hatia katika hili.
Ndoa ikifeli ni upuuzi wa mwanaume
Thus why mwanaume huwa anatozwa fidia na mali zinagawiwa nusu kwa nusu.