Wanawake wengi wameolewa na wanaume ambao sio chaguo lao

Umeongea madini Sana mkuu upo sahihi kbsa
 
True wengi wanaolewa na wanaume walio tayari kuwaoa anaweza akawa na wanne mmoja anampenda sana wa ndoto but hajawa tayari kuoa, mwingine si chaguo lake lakini yupo speed kuoa, mwenye speed ya kuoa ndie atakaekubaliwa hofu asikose ndoa
 
Saa nyingine mi naona hivi huwa ni visingizio tuu. Yote kwa yote, mwanamke au mwanaume jitahidi usiwe mzigo kwa mwenzi/mpenzi wako kwani tabia hii ndio ambayo inachangia kuhitimisha ule msemo wa kamba hukatikia pembamba. Uzito huu unaweza kuwa kiuchumi, kiroho, kijamii na baadhi ya tabia zenye kukera ikiwemo uchafu, uvivu uliopitiliza, na kuropoka ropoka ovyo. Mahusiano/ndoa za aina hii ndio zile unakuta mtu kaachwa kisa hajapokea simu, kasafiri karudi bila zivu aloondoka nalo au kuambiwa kuwa anailisha familia mandondo kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…