Wanawake wengi wanaolewa ili kupata urahisi wa maisha na sio upendo wa kweli

Wanawake wengi wanaolewa ili kupata urahisi wa maisha na sio upendo wa kweli

kwa hizi hizi kodi ,ada na viwanja mnavyotaka wachangie na hela za kununua chakula cha mwezi mnayotaka mke awe anajimudu?
Kuna unafuu gani kwa most of u ?
 
Hv kuna watu BDO mna idea za kutamani ndoa kwa karne hii ya sasa ,
 
Hakika siwezi pinga, urahisi wa nyapu ya wakati wowote nao uhitaji akizingua kutoa nyapu anarudi kwao kwa baiskel.
Ukioa lazima uwe na mchepuko na umvumilie mwenzako naujenge uvumilivu, naupendo maana atakuwa na majukumu mengi sana kiwemo ndugu zako ,watoto , na familia kwa ujumla
 
Back
Top Bottom