Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Kwangu huwa navumillia yote lakini sio upwiru.Ukioa lazima uwe na mchepuko na umvumilie mwenzako naujenge uvumilivu, naupendo maana atakuwa na majukumu mengi sana kiwemo ndugu zako ,watoto , na familia kwa ujumla