Wanawake wengi wanaolewa ili kupata urahisi wa maisha na sio upendo wa kweli

Ukioa lazima uwe na mchepuko na umvumilie mwenzako naujenge uvumilivu, naupendo maana atakuwa na majukumu mengi sana kiwemo ndugu zako ,watoto , na familia kwa ujumla
Kwangu huwa navumillia yote lakini sio upwiru.
 
Hofu ya mstakabali wa maisha Yao ndio ndio!
Wakishapata mstakabali Toka kwa huyo mwanamme bas mwanamme huonekana kikwazo Cha yeye kujitawala!!

Tena akaipata kajumba kakuishi na vitoto na akapata chanzo zcha kupata vi Hela Basss chokochoko huanza!!!

Unajiongeza hapo!!
 
Malalamiko yamekua mengi hadi kero, si msioanee tyuuh.
Tumeshachoka na kelele zenu, mfyuuuh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…