Dalili za Uyas hiziSijui kwa nini kila nikiongea na mwanamke yeyote kwenye simu lazima anisifie eti nina sauti nzuri.
Kituko kimetokea jana kuna manzi nilikua namtongoza kwenye simu,wakt tunaingea eti akaniambia nina sauti nzuri mpaka pichu yake imelowa.
Wakuu hivi sauti nayo inaweza ikakufanya ukapendwa na wanawake hata kama ni mbahili?
Fundi mzima wewe?Kazi kweli kweli
Sijui kwa nini kila nikiongea na mwanamke yeyote kwenye simu lazima anisifie eti nina sauti nzuri.
Kituko kimetokea jana kuna manzi nilikua namtongoza kwenye simu,wakt tunaingea eti akaniambia nina sauti nzuri mpaka pichu yake imelowa.
Wakuu hivi sauti nayo inaweza ikakufanya ukapendwa na wanawake hata kama ni mbahili?
Enzi zangu za ujana bana nilipata rafiki kidume mtandaoni. Aisee yule jamaa alikuwa ana kisauti chembamba kama cha kike kabisaaa๐๐. Sauti yake iliniput off nikaishia kumblockWengi wenye sauti nzuri kwenye simu huwa wana sura mbaya.
๐๐๐Enzi zangu za ujana bana nilipata rafiki kidume mtandaoni. Aisee yule jamaa alikuwa ana kisauti chembamba kama cha kike kabisaaa๐๐. Sauti yake iliniput off nikaishia kumblock
Bila shaka hata hela hakuwa nazo. Huwa inaambatana na tatizo la kukosa hela๐๐๐Enzi zangu za ujana bana nilipata rafiki kidume mtandaoni. Aisee yule jamaa alikuwa ana kisauti chembamba kama cha kike kabisaaa๐๐. Sauti yake iliniput off nikaishia kumblock
Enzi zangu za ujana bana nilipata rafiki kidume mtandaoni. Aisee yule jamaa alikuwa ana kisauti chembamba kama cha kike kabisaaa๐๐. Sauti yake iliniput off nikaishia kumblock
Yaani hata mtoto wa miaka 8 ana sauti nzito kuliko yeye..nikasema mmh hapana kwa kweliUkajiuliza mbona haja under go zile dalili za balehe kwa mwanaume? ๐
One man downSijui kwa nini kila nikiongea na mwanamke yeyote kwenye simu lazima anisifie eti nina sauti nzuri.