Wanawake wengi wanapenda kusifia sauti yangu kuwa ni nzuri.

Wanawake wengi wanapenda kusifia sauti yangu kuwa ni nzuri.

Sijui kwa nini kila nikiongea na mwanamke yeyote kwenye simu lazima anisifie eti nina sauti nzuri.
Kituko kimetokea jana kuna manzi nilikua namtongoza kwenye simu,wakt tunaingea eti akaniambia nina sauti nzuri mpaka pichu yake imelowa.
Wakuu hivi sauti nayo inaweza ikakufanya ukapendwa na wanawake hata kama ni mbahili?
Amka amka ndugu yetu...nenda VETA baada ya VETA tunza kibundaaa...🏃🏃🏃
 
Back
Top Bottom